Nyani wa Somanga
JF-Expert Member
- Jan 21, 2026
- 415
- 573
Omba namba ya mkeo uone kama ukimpigia hapokei.Tawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Ni kweli hako kamchezo nimekashudhidia mara kadhaa recentlyTawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
NenoPiga moja akipotea fresh wapo wengi.
Tuma muamala wa pesa harafu jirudishie Akiona meseji atakupigia kisha mtukane πTawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
kikubwa usikate tamaa, kaza tu, hawana msimamo hao.Tawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Unateseka bure wanawake waaikuhizi 90% ni wauzaji wa maku.Tawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Mmmh risk technque mzeeTuma muamala wa pesa harafu jirudishie Akiona meseji atakupigia kisha mtukane π
Sure.Kuna kitu kinaitwa kua mvumilivu usikate tamaa
Mambo ya pesa sjui tafuta pesa ni lugha tu zisizo na maana ila ukwel ni kwamba uvumilivu ni kitu cha muhimu
Ni kweli ila sio wote, mwingine anajikubali,kuna baadhi nimezinguana nao hiyo staili, anauliza unaniuliza hela ya nn?Unateseka bure wanawake waaikuhizi 90% ni wauzaji wa maku.
Wewe muulize bei gani muombe namba inayoopokea mualama mpe location.
Ulete ubwege na nikupende, mi ni YesuJipende kabla ya kumpenda wengine. Usijifanye bwana Yesu.
Nyeto iwe mkombozi wako pale unapokosa ****.
Nasanzuka π.
... anaweza kukuomba million Moja 'tu' akaonyeshe kwa kikoba, then akipata mkopo wake wa million tatu atakurudishia 'ka'million kako jioni! ... INGIA KINGI UJUE KAMA DENI LINAFUNGA MTU!Hao ni washamba wajanja wanapiga kizinga
Yeah, mtoto akililia wembe mpe jembe π.Ulete ubwege na nikupende, mi ni Yesu
Hakuna shavu la pili, toa wembe nitoe kisu.
Na usipige simu ya pili kama ya kwanza haikupikelewaHuyu bwana hajui kanuni za kutuma meseji, niliandika uzi humu kwamba Usitume meseji ya pili kama ya mwanzo haijajibiwa
Usikute mimi na wewe ni watoto wa baba mmoja.we jamaa ni mimi kabisa, yaani unapita mulemule...
Inaonekana wanaume wengi humu ni wagumu wa kutokuendekeza sana mademu.Na mimi pia