Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?

Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Hujui usemalo

Unakumbuka M23? Uliwahi kujua who was behind them?
TPDF ni habari nyingine Chief kwa ukanda huu
 
Huku kwetu pamezibwa.......
ushiriki wa Tanzania katika hii vita ni kuimarisha ulinzi katika mipaka yake.....
 
Huna ukijuacho wewe, unachokijua ni kukaa na dada zako na kujadili bei za Madela.
Haya mambo ya vita na ujuzi wa nchi kijeshi achana nayo sio level yako. Ndio maana unaongea pumba tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huna ukijuacho wewe, unachokijua ni kukaa na dada zako na kujadili bei za Madela.
Haya mambo ya vita na ujuzi wa nchi kijeshi achana nayo sio level yako. Ndio maana unaongea pumba tu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jamaa mjinga sana anaonyesha dharau za kijinga kwa kukaa nyuma ya keyboard.....
 



Hapo mwisho nimecheka sana
 
Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa, Bado SADC wanapakia Mizigo ku isaidia Msumbiji.
Rwanda tutaijua tu in10 years coming! Inauma sana tena sana Mungu katupa resources ila kuzilinda kutumia vizuri tukashindwa.😢





























 

Attachments

  • twitter_20210808_111421.mp4
    3.5 MB
  • twitter_20210808_184652.mp4
    5.5 MB
Kwenye maandalizi ya kuwakabili M23 “mizigo” iliyofika kwa ajili ya kazi hiyo kutoka bongo Ilibidi ipunguzwe kwa order ya UN!
Jamaa wakasema silaha hizo ni nzito mno,hazifai kutumia msituni!
Mizinga iliyokuwa inaangukia upande wa Rwanda ilifanya PK arudishe majeshi nyuma maana walikuwa wakijidai wanalinda mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…