Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Hujui usemaloKa nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Unakumbuka M23? Uliwahi kujua who was behind them?
TPDF ni habari nyingine Chief kwa ukanda huu