Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Huyo Mmakonde wa hapo juu hivi si Mizengo Pinda kweli?Siro ajipange maana magaidi watakua wamekimbilia kwetu.
View attachment 1886207
View attachment 1886210
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mmakonde wa hapo juu hivi si Mizengo Pinda kweli?Siro ajipange maana magaidi watakua wamekimbilia kwetu.
View attachment 1886207
View attachment 1886210
Wewe jamaa una matatizo ya problemAcha hizi story za kisenge za 10 years ago kwenye nchi ambayo sio Uganda au Rwanda,
Ni Congo walikutana huko,with different motives,hivyo usilete hizi alinancha
Refer ugomvi wa Kagame na Museveni in 2019-2020 wa mpaka wa Rwanda na Uganda ,Kagame kaomba msamaha mwenyewe!
Kagame ni msenge tu...anatumia media kujitangaza ana uwezo mkubwa but in reality hiyo ni marketing tupu,Kikwete anamjua vizuri
Kwanza alijifanya kumletea mdomo Mkapa,akanyooshwa,then akajifanya kumfunulia pua Kikwete,akanyooshwa
Kagame ni kiazi kabisa
only bright minds can see that. ndiyo sababu kagame amepeleka jeshi japo hayumo sadc...kwa hao raia vile wanazungumza inaonekana mchumbiji ardhi yao bado bikra sana, yaan kuna fursa kubwa sana huko.
Kagame kaenda linda maslahi ya Mfaransa na Total yake..only bright minds can see that. ndiyo sababu kagame amepeleka jeshi japo hayumo sadc...
Hujataka tu kupekuaChanzo cha habari ni Tv ya Rwanda. Propaganda tu za Kagame zinaendelea hakuna cha maana.
RTV ya nchi gani?Hujataka tu kupekua
Hakuna air defense system duniani inayozuia RPG. Alafu hiyo RPG ni kasilaha kadogo kwenye military vehicles zenye protection, achana na hizi gari zetu za bei chee. Watu wako bize kuzuia HEAT na warhead zenye charges kuliko hivi vibarutiIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Yani kinachokufanya uione Rwanda ya maajabu ni nini. Kupigana na washika majambia na wale wavaa yeboyebo?Hamna Namna naona unajaribu kuwa mzalendo ila deep down... Those guys are getting better and better.
Range ya A100 ikiwekwa pale mpakani inapiga Rwanda nzima. Yani huyu kaweweseka kabisa. Ukichukua vifaru vya Tz ukaviweka mpakani, unajaza mafuta mara mbili tu vinafika mji mkuu wa Rwanda. Sijawahi ona kama wana hata air force huwa naona helicopters za Kamov kama sikoseiUnaifahamu A100, je pia unaifahamu range yake, nenda kasome ukishapata jibu ndio ukae chini ukiwa umeshiba uongee huu utumbo!
Hiki ndio nilichokuwa nataka akielewe maana kwa A100, zikiwekwa tatu tu! Kwa operational range ya 650km sijui Rwanda inatokea wapi yeye kashikilia utumbo wake tuRange ya A100 ikiwekwa pale mpakani inapiga Rwanda nzima. Yani huyu kaweweseka kabisa. Ukichukua vifaru vya Tz ukaviweka mpakani, unajaza mafuta mara mbili tu vinafika mji mkuu wa Rwanda. Sijawahi ona kama wana hata air force huwa naona helicopters za Kamov kama sikosei
Rwanda kila mtu ni jasusi. Hakuna kenge wa kumuonea huruma gaidi ndani ya ile nchi. Ili magaidi wafanikiwe lazima wawe na watu wa ndani, akija akajichanganya sokoni na kwenye nyumba za ibada akapewa na ramani ndio anafanya shambulizi. Rwanda hakuna kichaa wa kujihusisha na any suspect, kama hueleweki raia wanatoa taarifa ukahojiwe.Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
Rudi kwenu halafu mwambie huyo bwana wako Kagame haiwezi Tanzania na wala msithubutu kuijaribu ataikimbia Rwanda, Tanzania haijawahi kushindwa uliza Uganda,Congo,huko Msumbiji tena kuanzia wakati wa ukombozi hadi vibaraka wao Renamo,Sheli sheli,hadi Comoro na sehemu nyingine kadha wa kadha.Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Na mm nilikua nawaza hawa kenge wasije kuingia kwetu kwa kweli tuache polojo naomba jeshi letu liwe macho tena liwe makini sana maana wale kenge kwa walivo isumbua msumbiji ni hatari .Achana na chama kinachoitwa SADC aisee! Yani Gaidi anaweka HQ na airport Macimboa da praia mwa bahari ya hindi na kupata supply,sasa tujiandae kusikia wamehamia Tanzania na kuweka HQ yao soon.maana hii Macimboa da praia ndio base waliobakinayo tu! Na hawana nyingine ya kukimbilia tofauti ta Tananzania.
Wengi WA watz wanyonge(vilaza) mnashida na RwandaphobiaIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, ni sawa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moja ya maslahiZitto Jrgeopolitical interests za Rwanda huku Cabo Delgado ni zipi na uwepo wa Rwanda una athari gani kwa usalama wa Tanzania katika ukanda huu ?
Shida ya magaidi nadhani wakiona wamedhibitiwa wanajichanganya na wananchi wanaonekana raia wema,nao utakuta wanatoa maoni na shukrani.ikitokea majeshi yakaondoka wanarudi mstituni.cha kufanya wapitishe msako nyumba hadi nyumba ila kwa amani watumie polisi ili kama watu wameficha ndani silaha zikamatwe,ndo amani ya kudumu itarejea.I'm telling! Kwa Sasa Rwanda military capability yake anaijua Congo anavyochakazwaga kule Goma na kuibiwa madini akiwa kasimama mchana kweupe na hakuna kitu atafanya.
Kama siyo majeshi ya Angola na zimbabwe saa hii congo yote ingekukua inaongea kitusiI'm telling! Kwa Sasa Rwanda military capability yake anaijua Congo anavyochakazwaga kule Goma na kuibiwa madini akiwa kasimama mchana kweupe na hakuna kitu atafanya.