Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

Halafu msumbiji wamejiaibisha kushindwa kua na jeshi imara la kuwafinya hao magaidi
 
Acha hizi story za kisenge za 10 years ago kwenye nchi ambayo sio Uganda au Rwanda,

Ni Congo walikutana huko,with different motives,hivyo usilete hizi alinancha

Refer ugomvi wa Kagame na Museveni in 2019-2020 wa mpaka wa Rwanda na Uganda ,Kagame kaomba msamaha mwenyewe!

Kagame ni msenge tu...anatumia media kujitangaza ana uwezo mkubwa but in reality hiyo ni marketing tupu,Kikwete anamjua vizuri

Kwanza alijifanya kumletea mdomo Mkapa,akanyooshwa,then akajifanya kumfunulia pua Kikwete,akanyooshwa

Kagame ni kiazi kabisa
Wewe jamaa una matatizo ya problem
 
only bright minds can see that. ndiyo sababu kagame amepeleka jeshi japo hayumo sadc...
Kagame kaenda linda maslahi ya Mfaransa na Total yake..

Ila hii mission nimeipenda sana, kikosi cha magaidi wanakadiriwa kufikia 3,000 lakini waliouwawa mpaka sasa hawafikii robo. Magaidi baada ya kupokonywa ngome zao wamekimbilia msituni hivyo vikosi vya SADC vimeenda kwa ajili ya peacemaking kwenye miji iliyokombolewa huku vile vya Rwanda na Msumbiji vikiwafata magaidi porini huko.

Kazi wanayo..
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Hakuna air defense system duniani inayozuia RPG. Alafu hiyo RPG ni kasilaha kadogo kwenye military vehicles zenye protection, achana na hizi gari zetu za bei chee. Watu wako bize kuzuia HEAT na warhead zenye charges kuliko hivi vibaruti
 
Hamna Namna naona unajaribu kuwa mzalendo ila deep down... Those guys are getting better and better.
Yani kinachokufanya uione Rwanda ya maajabu ni nini. Kupigana na washika majambia na wale wavaa yeboyebo?

Kwani kuna vita kule, we umesikia battle yeyote au confrontation? Rwanda walienda kufukuza magaidi, hawajapigana nao hata. Hii hata Polisi Tanzania wanaweza

Unatumia wendawazimu wa serikali ya Msumbiji na udhaifu wa jeshi lake kuikuza Rwanda. Haina maajabu yeyote ya maana mbele ya Tanzania
 
Unaifahamu A100, je pia unaifahamu range yake, nenda kasome ukishapata jibu ndio ukae chini ukiwa umeshiba uongee huu utumbo!
Range ya A100 ikiwekwa pale mpakani inapiga Rwanda nzima. Yani huyu kaweweseka kabisa. Ukichukua vifaru vya Tz ukaviweka mpakani, unajaza mafuta mara mbili tu vinafika mji mkuu wa Rwanda. Sijawahi ona kama wana hata air force huwa naona helicopters za Kamov kama sikosei
 
Hiki ndio nilichokuwa nataka akielewe maana kwa A100, zikiwekwa tatu tu! Kwa operational range ya 650km sijui Rwanda inatokea wapi yeye kashikilia utumbo wake tu
 
Rwanda sasa ajiandae Hawa jamaa siyo watu.
Rwanda kila mtu ni jasusi. Hakuna kenge wa kumuonea huruma gaidi ndani ya ile nchi. Ili magaidi wafanikiwe lazima wawe na watu wa ndani, akija akajichanganya sokoni na kwenye nyumba za ibada akapewa na ramani ndio anafanya shambulizi. Rwanda hakuna kichaa wa kujihusisha na any suspect, kama hueleweki raia wanatoa taarifa ukahojiwe.

Anayejichanganya kushirikiana na adui atakusanya ukoo wake wachimbe udongo najua unajua kwa ajili gani. Kwanza kujadili siasa tu ni watu hawataki, ukianza criticize Kagame uliokaa nao wanaondoka
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Rudi kwenu halafu mwambie huyo bwana wako Kagame haiwezi Tanzania na wala msithubutu kuijaribu ataikimbia Rwanda, Tanzania haijawahi kushindwa uliza Uganda,Congo,huko Msumbiji tena kuanzia wakati wa ukombozi hadi vibaraka wao Renamo,Sheli sheli,hadi Comoro na sehemu nyingine kadha wa kadha.
 
Achana na chama kinachoitwa SADC aisee! Yani Gaidi anaweka HQ na airport Macimboa da praia mwa bahari ya hindi na kupata supply,sasa tujiandae kusikia wamehamia Tanzania na kuweka HQ yao soon.maana hii Macimboa da praia ndio base waliobakinayo tu! Na hawana nyingine ya kukimbilia tofauti ta Tananzania.
Na mm nilikua nawaza hawa kenge wasije kuingia kwetu kwa kweli tuache polojo naomba jeshi letu liwe macho tena liwe makini sana maana wale kenge kwa walivo isumbua msumbiji ni hatari .

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Naamini JWTZ na Police_TZ imepiga doria ya kutosha kuhakikisha hakuna kima aliyevuka Mto Ruvuma na kuingia kusini mwa Tanzania...
 
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.

Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.

Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?

Mungu tunusuru! [emoji848]
Wengi WA watz wanyonge(vilaza) mnashida na Rwandaphobia
 
Zitto Jrgeopolitical interests za Rwanda huku Cabo Delgado ni zipi na uwepo wa Rwanda una athari gani kwa usalama wa Tanzania katika ukanda huu ?
Rwanda wameenda kufanya practical training msumbiji, ni sawa na wanafunzi wa vyuo wanavyoenda field. Hili ni moja ya maslahi

Ila pia ikumbukwe Magenerali wengi wa Rwanda wamepigana vita vya ukombozi wa Msumbiji wakitokea Tanzania wakisaidiana na Frelimo, si jambo la kushangaa Kagame akipeleka jeshi kule sababu yeye mwenyewe kapigania uhuru wa Msumbiji akiwa chini ya General Museveni
 
I'm telling! Kwa Sasa Rwanda military capability yake anaijua Congo anavyochakazwaga kule Goma na kuibiwa madini akiwa kasimama mchana kweupe na hakuna kitu atafanya.
Shida ya magaidi nadhani wakiona wamedhibitiwa wanajichanganya na wananchi wanaonekana raia wema,nao utakuta wanatoa maoni na shukrani.ikitokea majeshi yakaondoka wanarudi mstituni.cha kufanya wapitishe msako nyumba hadi nyumba ila kwa amani watumie polisi ili kama watu wameficha ndani silaha zikamatwe,ndo amani ya kudumu itarejea.
 
Back
Top Bottom