Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
 
Naunga mkono hoja, hatuwezi kuendesha nchi ama mpira bila kufuata Sheria
 
Bado tu mpo busy hii mada? Ina maana hamjaona Taarifa Controller and Auditor General?
 
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Sina mashaka na simba kwenye suala la sheria tatizo lipo kwa nyuma mwiko hawana mwanasheria wana muhasibu tu
 
Mimi hofu yangu ni moja tu; ikitokea wakasusa tena, itakuwaje?
 
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la.
Ndivyo ilivyokuwa na kilichotokea. Kanuni za bodi ya Ligi zinaipa mamlaka Bodi hiyo kupanga, kusogeza mbele au kurudisha nyuma au kuahirisha mchezo wa Ligi. Kwa kutumia kanuni hiyo, Bodi ya Ligi iliifuata na kuahirisha mchezo huo, na itaifuata kanuni hiyo kwa kupanga tarehe nyingine ya mechi hiyo. Ukiwa mjinga mjinga utakariri kanuni moja na kufunika kitabu
 
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Hatuchezi!
 
Mlifanya ujinga wenu wa kuweka mabaunsa mkitegemea mtapigwa fain ya mil. 5 sa kibao kimegeuka.
 
Ndivyo ilivyokuwa na kilichotokea. Kanuni za bodi ya Ligi zinaipa mamlaka Bodi hiyo kupanga, kusogeza mbele au kurudisha nyuma au kuahirisha mchezo wa Ligi. Kwa kutumia kanuni hiyo, Bodi ya Ligi iliifuata na kuahirisha mchezo huo, na itaifuata kanuni hiyo kwa kupanga tarehe nyingine ya mechi hiyo. Ukiwa mjinga mjinga utakariri kanuni moja na kufunika kitabu
Kuna sababu ambazo zinapelekea kubadilisha ratiba na lazima ziwe sababu nzito. Ujiandae wiki nzima halafu ushindwe kucheza kukosa nusu saa ya kufanya mazoezi kwa mkapa hii nibsababu ya kitoto sana
 
Kuna taratubu za kuahirisha mchezo. Sio mke wa Semguto anaamla asubuhi anamwambia mmewe leo ana ratiba yake hivyo mechi iahirishwe then wajiamulie tu! NO. lazima sababu ziwe kwa mujibu wa kanuni, yaani dharura mfano kifo, vita au hali mbaya ya hewa basi.
 
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Simba wapewe point zao 3 na magoli
 
Kuna taratubu za kuahirisha mchezo. Sio mke wa Semguto anaamla asubuhi anamwambia mmewe leo ana ratiba yake hivyo mechi iahirishwe then wajiamulie tu! NO. lazima sababu ziwe kwa mujibu wa kanuni, yaani dharura mfano kifo, vita au hali mbaya ya hewa basi.
Kanuni zinampa nani mamlaka ya kufuata na kuamua taratibu hizo na kuahirisha mechi, wewe au Bodi ya Ligi? Jibu zaidi kikanuni, sio kwa busara zako
 
Kuna sababu ambazo zinapelekea kubadilisha ratiba na lazima ziwe sababu nzito. Ujiandae wiki nzima halafu ushindwe kucheza kukosa nusu saa ya kufanya mazoezi kwa mkapa hii nibsababu ya kitoto sana
Kanuni zinampa nani mamlaka ya kuchambua sababu hizo na kisha kuahirisha mechi, wewe au Bodi ya Ligi? Jibu zaidi kikanuni, sio kwa busara zako
 
Ndivyo ilivyokuwa na kilichotokea. Kanuni za bodi ya Ligi zinaipa mamlaka Bodi hiyo kupanga, kusogeza mbele au kurudisha nyuma au kuahirisha mchezo wa Ligi. Kwa kutumia kanuni hiyo, Bodi ya Ligi iliifuata na kuahirisha mchezo huo, na itaifuata kanuni hiyo kwa kupanga tarehe nyingine ya mechi hiyo. Ukiwa mjinga mjinga utakariri kanuni moja na kufunika kitabu
Kama kanuni zinaipi bodi ya ligi kupanga na kusogeza Mbele Au kurudixha Nyuma mchezo Inabidi ziwe Sbb Za Kweli Co Za kufunga Au Za Kushinikizwa Na Timu Nyngn, Asbh waliulizwa wakasema mchezo upo Bada ya Simba kukuza hawachezi wakauhairixha Hii Inaonyesha wazi Bada Y Simba kusema bodi ya ligi wajafanya hvy
 
Back
Top Bottom