Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

Hatuchezi ...
Hatuchezi....
Hatuchezi...

Tunataka pwenti tatu...
Tunataka pwenti tatu....
Tunataka pwenti tatu....

Yanga ni laana ingine hapa Tanzania
 
Nimekwambia nitajie hiyo kanuni
Soma kanuni namba 34 yote kwa ujumla wake

1743363330481.png
 
Hivi unaelewa Kiswahili? Nimekwambia nisomee wewe hicho kipengele kati ya hivyo ☝️
Nimekuwekea hapo kanuni yote namba 34 kuhusu kuahirisha mechi, halafu bado unasema nikusomee! Sasa nikikusomea wakati hatupo pamoja, utasikiaje?
 
Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Kurudiwa kwani ulichezwa?
 
Acha woga peleka timu uwanjani
 
Kuna sababu ambazo zinapelekea kubadilisha ratiba na lazima ziwe sababu nzito. Ujiandae wiki nzima halafu ushindwe kucheza kukosa nusu saa ya kufanya mazoezi kwa mkapa hii nibsababu ya kitoto sana
Sio kukosa nusu saa,ni vitisho mlivyofanya dhidi ya wachezaji mbele ya polisi.
Unadhani wachezaji hawataingia hofu ya kudhuriwa iwapo tu polisi waneshindwa kudhibiti kikundi kidogo cha watu wanaojiita mabaunsa?

Je hujui kwamba huwa wanapiga watu hadharani na hawajawahi kuchukuliwa hatua?
 
Nimekuwekea hapo kanuni yote namba 34 kuhusu kuahirisha mechi, halafu bado unasema nikusomee! Sasa nikikusomea wakati hatupo pamoja, utasikiaje?
Labda nikurahisishie swali, kuna kipengele kinachotaja kwamba timu pinzani ikinyimwa kufanya mazoezi basi mchezo uahirishwe?
 
Sio kukosa nusu saa,ni vitisho mlivyofanya dhidi ya wachezaji mbele ya polisi.
Unadhani wachezaji hawataingia hofu ya kudhuriwa iwapo tu polisi waneshindwa kudhibiti kikundi kidogo cha watu wanaojiita mabaunsa?

Je hujui kwamba huwa wanapiga watu hadharani na hawajawahi kuchukuliwa hatua?
Simba mlitfuta tu sababu ya kukimbia mechi, acheni utetezi wa kitoto
 
Labda nikurahisishie swali, kuna kipengele kinachotaja kwamba timu pinzani ikinyimwa kufanya mazoezi basi mchezo uahirishwe?
Hakuna katiba, sheria au kanuni inayoweza kutaja kila kitu kwa upekee wake (specific), ndio maana sheria zinatambua mamlaka zitakazofanyia maamuzi jambo litakalokuwa halijatajwa. Kwa hiyo kanuni imetoa mamlaka kwa Bodi ya Ligi kufanya maamuzi, na ndicho kilichofanyika. Ni sawa na maamuzi ya refarii, FIFA imempa mamlaka ya kutoa uamuzi wa mwisho uwanjani, sasa kwa ambaye hataridhika na maamuzi anatakiwa kukata rufaa kwa chombo kilichotajwa na kanuni, sio kuendelea kupiga makelele mitandaoni bila kufuata kanuni inayoruhusu rufaa. Nashangaa kwa nini Yanga hawataki kwenda CAS
 
Kanuni inataka kuwe na sababu za msingi zitakazokubaliwa na TFF. Ni kweli Bodi ya ligi inamamlaka ya kuhairisha mchezo ikiwa kunasababu za msingi zilizopelekea mchezo usichezeke.. katika hali ya kawaida hilo ni fumbo ambalo bado bodi ya ligi ndio wanaojua.. binafsi naunga mkono wazo la yanga kutokucheza tena huo mchezo kwakuwa naamin ni utashi wa TFF wa kutaka simba wasikatwe pointi kwa kugomea mchezo wakitumia fumbo lililopo kwenye kanuni hvyo ili kukomesha matumizi mabaya ya kanuni hiyo ni heri yanga ikatwe tuu hizo point 15 kwa kugomea mchezo ujao ili iwe reference ya maamuzi kwa miaka ijayo.. Ni hayo tuu
 
Back
Top Bottom