Correspondence
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 310
- 313
Iwe haki isiwe haki mechi lazima ichezwe.😎😎Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Hakuna kinachorudiwa hapo utopolo wewe🤣🤣😂
Mechi iliahirishwa inarudiwaje wakati haikuchezwa. Kweli hamna akili