Kanuni inaipa bodi tu mamlaka ya kubainisha sababu za kweli na zisizo za kweli, na kanuni hazijampa mtu mwingine mamlaka hayo ikiwemo weweKama kanuni zinaipi bodi ya ligi kupanga na kusogeza Mbele Au kurudixha Nyuma mchezo Inabidi ziwe sababu za kweli Co Za kufunga Au Za Kushinikizwa Na Timu Nyngn, Asbh waliulizwa wakasema mchezo upo Bada ya Simba kukuza hawachezi wakauhairixha Hii Inaonyesha wazi Bada Y Simba kusema bodi ya ligi wajafanya hvy
Kuhalisha mechi ni sababu yenye uzito sana. Timu ya ugenini kushindwa kufanya mazoezi uwanja utakaotumika kucheza mechi ni sababu nyepesi sanaKanuni zinampa nani mamlaka ya kuchambua sababu hizo na kisha kuahirisha mechi, wewe au Bodi ya Ligi? Jibu zaidi kikanuni, sio kwa busara zako
Hapa bodi ya ligi lazima wawajibishwe na ugumu ni kwamba wakiangalia wanaona yanga kinanuni ana point, patamu hapa maama serikali nayo inasita kutoa tamko kwa kuogopa rungu la fifa 🤣🤣🤣🤣🤣Kuhalisha mechi ni sababu yenye uzito sana. Timu ya ugenini kushindwa kufanya mazoezi uwanja utakaotumika kucheza mechi ni sababu nyepesi sana
Ndiomana mechi ilipoghairishwa nyie wanachama na mashabiki wa Mbuzi Sc mlishangalia kama ile ambayo Yanga walivopangwa kucheza hatua ya robo ya club bingwa na Mamelod msimu uliopita.Haki ni mechi kurudiwa kwa sababu iliahirishwa.
Kikanuni ni nani mwenye mamlaka ya kupima sababu yenye uzito sana na isiyo na uzito sana? Jibu kwa kurejea kanuniKuhalisha mechi ni sababu yenye uzito sana. Timu ya ugenini kushindwa kufanya mazoezi uwanja utakaotumika kucheza mechi ni sababu nyepesi sana
Wadau wote wa sokaKikanuni ni nani mwenye mamlaka ya kupima sababu yenye uzito sana na isiyo na uzito sana? Jibu kwa kurejea kanuni
Weka maandishi ya kanuni hiyo yanayosema kuwa mechi itaahirishwa baada ya wadau wote wa soka kupima na kuridhika na sababu yenye uzito sana ilinayosababisha hatua hiyo kuchukuliwa. Tunaenda kikanuni zaidi, sio busara au maoni ya mtu, kwa hiyo weka kanuni hiyo.Wadau wote wa soka
Na wewe weka kanuni inayosema timu ya ugenini isipofanya mazoezi kwenye uwanja utakaotumika mechi ihailishweWeka maandishi ya kanuni hiyo yanayosema kuwa mechi itaahirishwa baada ya wadau wote wa soka kupima na kuridhika na sababu yenye uzito sana ilinayosababisha hatua hiyo kuchukuliwa. Tunaenda kikanuni zaidi, sio busara au maoni ya mtu, kwa hiyo weka kanuni hiyo.
Kanuni zimewekwa ili kuongoza Ligi yote kwa ujumla. Hata Bodi ya Ligi wanapokosea wanapaswa kuwajibika. Wanapovunja kanuni kwa kuahirisha mchezo kisa mke wa Semguto ni mjamzito unataka tuone sawa tu kisa wao ni bodi? Hapakuwa na sababu ya msingi kuahirisha mchezo kikanuniKanuni zinampa nani mamlaka ya kufuata na kuamua taratibu hizo na kuahirisha mechi, wewe au Bodi ya Ligi? Jibu zaidi kikanuni, sio kwa busara zako
Taarifa ya CAG si ina mapendekezo mkuu sisi tutafanya nini CAG kasoma zilikusanywa 6 bilion katika Jiji la Ilala ila hela hazikufika Bank hapo kazi ni ya polisi na Takukuru kama wapo kimya basi hela zitaendelea kutokwenda Bank.Bado tu mpo busy hii mada? Ina maana hamjaona Taarifa Controller and Auditor General?
Nimeuliza, hizo hizo kanuni zinampa nani mamlaka ya kubainisha kuwapo au kutokuwapo sababu ya msingi ya kuahirisha mchezo? Umesema ni wadau wote wa michezo, nasubiri kwako maandishi ya kanuni yanayotaja mahali kuwa ni wadau wote wa michezo. Tusitumie busara, leta kanuniHapakuwa na sababu ya msingi kuahirisha mchezo kikanuni
Kanuni zimewekwa ili kufuatwa na kutekelezwa si tu na bodi ya Ligi, bali wadau wote wa michezo.Nimeuliza, hizo hizo kanuni zinampa nani mamlaka ya kubainisha kuwapo au kutokuwapo sababu ya msingi ya kuahirisha mchezo? Umesema ni wadau wote wa michezo, nasubiri kwako maandishi ya kanuni yanayotaja mahali kuwa ni wadau wote wa michezo. Tusitumie busara, leta kanuni
Wapi walipotajwa wadau wa michezo? Tunataka uweke kanuni tuone walipotajwa, hatutaki busara busara hapaKanuni zimewekwa ili kufuatwa na kutekelezwa si tu na bodi ya Ligi, bali wadau wote wa michezo.
Mapendekezo yanasemajeTaarifa ya CAG si ina mapendekezo mkuu sisi tutafanya nini CAG kasoma zilikusanywa 6 bilion katika Jiji la Ilala ila hela hazikufika Bank hapo kazi ni ya polisi na Takukuru kama wapo kimya basi hela zitaendelea kutokwenda Bank.
Akili yako iko sawa kweli? Kwa hiyo timu isipoletwa uwanjani anayekatwa alama tatu ni bodi ya Ligi au mke wa Karia?Wapi walipotajwa wadau wa michezo? Tunataka uweke kanuni tuone walipotajwa, hatutaki busara busara hapa
Sasa mbona hauleti hizo kanuni badala yake unaanza kutoka kwenye reli? Mimi nakuletea Kanuni zilizotungwa na Bodi ya Ligi (TPLB), wewe leta zako na onyesha hao wadau wa michezo wanatajwa wapiAkili yako iko sawa kweli? Kwa hiyo timu isipoletwa uwanjani anayekatwa alama tatu ni bodi ya Ligi au mke wa Karia?
Katika hizo sababu zote, kuna yyt iliyoruhusu derby kuahirishwa?Sasa mbona hauleti hizo kanuni badala yake unaanza kutoka kwenye reli? Mimi nakuletea Kanuni zilizotungwa na Bodi ya Ligi (TPLB), wewe leta zako na onyesha hao wadau wa michezo wanatajwa wapi
View attachment 3288230
Kanuni inatoa uwezo kwa wenye mamlaka (Bodi ya Ligi) kubainisha sababu za hilo ulilouliza, na si mtu moja mmoja eti tu kwa kuwa anajiita mdau wa soka wakati hayumo kwenye kanuni. Tufuate kilichotajwa kwenye kanuni, wadau wa soka ni busaraKatika hizo sababu zote, kuna yyt iliyoruhusu derby kuahirishwa?
Nimekwambia nitajie hiyo kanuniKanuni inatoa uwezo kwa wenye mamlaka (Bodi ya Ligi) kubainisha sababu za hilo ulilouliza, na si mtu moja mmoja eti tu kwa kuwa anajiita mdau wa soka wakati hayumo kwenye kanuni. Tufuate kilichotajwa kwenye kanuni, wadau wa soka ni busara