Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Soma kanuni namba 34 yote kwa ujumla wakeNimekwambia nitajie hiyo kanuni
Hivi unaelewa Kiswahili? Nimekwambia nisomee wewe hicho kipengele kati ya hivyo βοΈ
Nimekuwekea hapo kanuni yote namba 34 kuhusu kuahirisha mechi, halafu bado unasema nikusomee! Sasa nikikusomea wakati hatupo pamoja, utasikiaje?Hivi unaelewa Kiswahili? Nimekwambia nisomee wewe hicho kipengele kati ya hivyo βοΈ
Kurudiwa kwani ulichezwa?Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Acha woga peleka timu uwanjaniMchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi ilihusika kuahirisha mchezo kinyume na taratibu, inapaswa kuwajibika na maamuzi yaliyofanyika kubatilishwa.Kama Yanga ilihusika kufanya vurugu za namna yoyote dhidi ya mpinzani wake, kanuni zipo wazi, Faini ya milioni 1 mpaka 5 inahusika. Pamoja na yote hakuna Kanuni ya kulazimisha mchezo husika uchezwe.Hakuna haja ya kulazimisha busara kutumika.Mechi ilishachezwa tarehe 8/3 kinachojadiliwa sasa ni yale yaliyojitokeza katika siku husika ya mchezo.
Sio kukosa nusu saa,ni vitisho mlivyofanya dhidi ya wachezaji mbele ya polisi.Kuna sababu ambazo zinapelekea kubadilisha ratiba na lazima ziwe sababu nzito. Ujiandae wiki nzima halafu ushindwe kucheza kukosa nusu saa ya kufanya mazoezi kwa mkapa hii nibsababu ya kitoto sana
Waoga ni nyie mliokimbia tar 8 sasa mnaanza kusumbua watuAcha woga peleka timu uwanjani
Kwa mujibu wa kanuni tayari mchezo ulishachezwa tar 8Kurudiwa kwani ulichezwa?
Labda nikurahisishie swali, kuna kipengele kinachotaja kwamba timu pinzani ikinyimwa kufanya mazoezi basi mchezo uahirishwe?Nimekuwekea hapo kanuni yote namba 34 kuhusu kuahirisha mechi, halafu bado unasema nikusomee! Sasa nikikusomea wakati hatupo pamoja, utasikiaje?
Simba mlitfuta tu sababu ya kukimbia mechi, acheni utetezi wa kitotoSio kukosa nusu saa,ni vitisho mlivyofanya dhidi ya wachezaji mbele ya polisi.
Unadhani wachezaji hawataingia hofu ya kudhuriwa iwapo tu polisi waneshindwa kudhibiti kikundi kidogo cha watu wanaojiita mabaunsa?
Je hujui kwamba huwa wanapiga watu hadharani na hawajawahi kuchukuliwa hatua?
Hakuna katiba, sheria au kanuni inayoweza kutaja kila kitu kwa upekee wake (specific), ndio maana sheria zinatambua mamlaka zitakazofanyia maamuzi jambo litakalokuwa halijatajwa. Kwa hiyo kanuni imetoa mamlaka kwa Bodi ya Ligi kufanya maamuzi, na ndicho kilichofanyika. Ni sawa na maamuzi ya refarii, FIFA imempa mamlaka ya kutoa uamuzi wa mwisho uwanjani, sasa kwa ambaye hataridhika na maamuzi anatakiwa kukata rufaa kwa chombo kilichotajwa na kanuni, sio kuendelea kupiga makelele mitandaoni bila kufuata kanuni inayoruhusu rufaa. Nashangaa kwa nini Yanga hawataki kwenda CASLabda nikurahisishie swali, kuna kipengele kinachotaja kwamba timu pinzani ikinyimwa kufanya mazoezi basi mchezo uahirishwe?
Simba uitoe hapo. Yanga mnatakiwa mmalizane na Bodi ya LigiSimba mlitfuta tu sababu ya kukimbia mechi, acheni utetezi wa kitoto
Kanuni inataka kuwe na sababu za msingi zitakazokubaliwa na TFF. Ni kweli Bodi ya ligi inamamlaka ya kuhairisha mchezo ikiwa kunasababu za msingi zilizopelekea mchezo usichezeke.. katika hali ya kawaida hilo ni fumbo ambalo bado bodi ya ligi ndio wanaojua.. binafsi naunga mkono wazo la yanga kutokucheza tena huo mchezo kwakuwa naamin ni utashi wa TFF wa kutaka simba wasikatwe pointi kwa kugomea mchezo wakitumia fumbo lililopo kwenye kanuni hvyo ili kukomesha matumizi mabaya ya kanuni hiyo ni heri yanga ikatwe tuu hizo point 15 kwa kugomea mchezo ujao ili iwe reference ya maamuzi kwa miaka ijayo.. Ni hayo tuuHakuna katiba, sheria au kanuni inayoweza kutaja kila kitu kwa upekee wake (specific), ndio maana sheria zinatambua mamlaka zitakazofanyia maamuzi jambo litakalokuwa halijatajwa. Kwa hiyo kanuni imetoa mamlaka kwa Bodi ya Ligi kufanya maamuzi, na ndicho kilichofanyika. Ni sawa na maamuzi ya refarii, FIFA imempa mamlaka ya kutoa uamuzi wa mwisho uwanjani, sasa kwa ambaye hataridhika na maamuzi anatakiwa kukata rufaa kwa chombo kilichotajwa na kanuni, sio kuendelea kupiga makelele mitandaoni bila kufuata kanuni inayoruhusu rufaa. Nashangaa kwa nini Yanga hawataki kwenda CAS
TFF walizikataa sababu hizo?Kanuni inataka kuwe na sababu za msingi zitakazokubaliwa na TFF.
Jidanganyeni utopoloKwa mujibu wa kanuni tayari mchezo ulishachezwa tar 8
Sawa Mr. Kolo a.k.a MbumbumbuJidanganyeni utopolo
Natumaini wewe siyo mzee Sunday Manara wala Mzee Kikwete, ni wale mashabiki mliosaliaSawa Mr. Kolo a.k.a Mbumbumbu
Sawa kijana wa Rage, kesho ulete tofali kadhaa Rage ajengewe sanamuNatumaini wewe siyo mzee Sunday Manara wala Mzee Kikwete, ni wale mashabiki mliosalia
Hawaamini macho yao, πππππMlifanya ujinga wenu wa kuweka mabaunsa mkitegemea mtapigwa fain ya mil. 5 sa kibao kimegeuka.