Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

Iwe haki isiwe haki mechi lazima ichezwe.😎😎

Hakuna kinachorudiwa hapo utopolo wewe🤣🤣😂

Mechi iliahirishwa inarudiwaje wakati haikuchezwa. Kweli hamna akili
 
Je, walihairisha mechi kabla ya masaa 72 ya tarehe ya mechi iliyopangwa awali?
 
Je, walihairisha mechi kabla ya masaa 72 ya tarehe ya mechi iliyopangwa awali?
Weka kanuni inayosema hivyo, halafu uweke na kanuni namba 34, kisha uzisome kwa pamoja. Tatizo mnataka kanuni zifuatwe lakini mnaongea bila kuweka hizo kanuni hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…