Manepesa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,065
- 3,714
Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂
Anyway kila la heri kwa timu zilizoingia fainali. Namuona Mbappe akipishana na kombe leo.
Anyway kila la heri kwa timu zilizoingia fainali. Namuona Mbappe akipishana na kombe leo.