Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Acha ujinga na utoto wewe kilaza.
Asiishie kuhasiwa tu, apigwe na TREESMtoa mada ahasiwe. Pumbavu anafikiri yupo kijiwe cha Boda.
Wewe ni KENGE!Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂
Anyway kila la heri kwa timu zilizoingia fainali. Namuona Mbappe akipishana na kombe leo.
Naunga mkono hojaMtoa mada ahasiwe
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂
Anyway kila la heri kwa timu zilizoingia fainali. Namuona Mbappe akipishana na kombe leo.