wadanganye wagomee tena mchezoMechi inarudiwa vipi wakati sheria inaitaka TFF kuipatia Yanga SC pointi tatu maana walifika uwanjani muda wa mchezo na Simba SC hawakutokea. Yanga SC nitawashangaa wakicheza huu mchezo.
"Mpira sio wa kila mtu mzee" na unashindwa kutambua sheria ya kuhairisha au kusogeza mchezo ni masaa 24? TFF walifuata kanuni ipi?🤣🤣🤣....mpira sio wa kila mtu mzee, baki kwenye kada unayofit.
Yanga wapewe point tatu na ni yanga hao hao walikaidi agizo la TFF🤣🤣.
Hizo point wanapewa na radio maria?
Wagomee 'tena' kwani waligoma lini? Yanga walifika katika mchezo husika muda rasmi. Wahusika wa mchezo TFF, Bodi ya Ligi na Simba walichelewa kufika.wadanganye wagomee tena mchezo
Mechi ilihairishwa au muda wa kuanza mechi ndio ulisogezwa mbele kwa saa mbili......kuna tofauti hapa........Wanashindwa kusema maana wakisema ni Tanzania kufungiwa kuhusika na mpira. Itakuwa ajabu hata kusoma mechi inahairishwa kwa sababu ya kitabu cha kisiasa.
Naomba FIFA ifungie Tanzania, kusudi watu wafahamu siasa zina mipaka yake. Siasa zibaki kwenye mavikao ya chama, bungeni na ikulu.
Kwa mfano TFF, wameikatilia Serikali, huo mpira ungechezwa uwanja gani?Kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za FIFA Serikali hazipaswi kuingilia mambo ya soka au kuyaendesha mashirikisho ya mpira wa miguu ya nchi husika.
Hiyo ina maana kwamba hapa kwetu Tanzania, Serikali hairuhusiwi kuingilia maamuzi ya TFF.
TFF walipaswa kuikatalia Serikali iliposema mchezo wa Yanga na Simba usogezwe mbele kwa masaa 2 maana kanuni na taratibu haziruhusu.
Kutokana na hili sakata, Yanga wanapaswa kupewa point 3 na magoli 3 sababu wao wapo sahihi kikanuni. Nitawashangaa sana Yanga kama watakubali kurudia mechi hiyo. Nawashauri Yanga, ikiwa TFF itakataa kuwasikiliza kuhusu kupewa point 3 basi waiandikie FIFA barua ya malalamiko halafu tuone moto wake.
Yanga msikubali kuchezeshwa hii ngoma ya TFF na Serikali, komaeni mpewe points zenu 3 na magoli 3 sababu wenye makosa siyo ninyi, ni hao TFF na Serikali. Ninyi mlifuata kanuni na taratibu kama zinavyosema.
Kateni rufaa, andikeni barua FIFA watu waadabishwe, heshima irudi. Hao TFF wamejisahau sana hao akina Wallace Karia na wenzake.
Yanga chomeni utambi FIFA, hii ni nafasi yenu adimu ya kurudisha heshima ya soka la bongo.
Kufikia sasa Yanga SC ndio imebeba hatima ya mpira kwa Tanzania aidha ifungiwe au lah! Yanga SC wakilisogeza hili CAF au FIFA, mpira utaanza kusahaulika.Kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za FIFA Serikali hazipaswi kuingilia mambo ya soka au kuyaendesha mashirikisho ya mpira wa miguu ya nchi husika.
Hiyo ina maana kwamba hapa kwetu Tanzania, Serikali hairuhusiwi kuingilia maamuzi ya TFF.
TFF walipaswa kuikatalia Serikali iliposema mchezo wa Yanga na Simba usogezwe mbele kwa masaa 2 maana kanuni na taratibu haziruhusu.
Kutokana na hili sakata, Yanga wanapaswa kupewa point 3 na magoli 3 sababu wao wapo sahihi kikanuni. Nitawashangaa sana Yanga kama watakubali kurudia mechi hiyo. Nawashauri Yanga, ikiwa TFF itakataa kuwasikiliza kuhusu kupewa point 3 basi waiandikie FIFA barua ya malalamiko halafu tuone moto wake.
Yanga msikubali kuchezeshwa hii ngoma ya TFF na Serikali, komaeni mpewe points zenu 3 na magoli 3 sababu wenye makosa siyo ninyi, ni hao TFF na Serikali. Ninyi mlifuata kanuni na taratibu kama zinavyosema.
Kateni rufaa, andikeni barua FIFA watu waadabishwe, heshima irudi. Hao TFF wamejisahau sana hao akina Wallace Karia na wenzake.
Yanga chomeni utambi FIFA, hii ni nafasi yenu adimu ya kurudisha heshima ya soka la bongo.
Umeongea vzur ,rejea ata mechi ya namungo ambayo alitakiwa acheze kule angola kimsing serikal yao ndio ilikua sababu ya ile mechi kutochezwa kule baadae caf wakatoa taarifa kwamba wao wanaanza kueshimu taratibu na sheria za nchi kwanza mwsho mechi ikarudiwa kama ingekua kila serikal ikiusika bas kufungiwa nadhan nchi nyng zingekula ban kila cku ,kutofutisha mpra na serikal ni kutaka tu kuwe na mgawanyo wa majukum na madaraka pamoja na kuheshimiana lakn iv vtu lazma viingiliane sana ndio maana nchi nyng zina wizara ya michezo au taasisi inayousika na michezoSERIKALI kuingilia maswala ya soka ni issue tofauti na hii, ht km serikali ingesimamisha ligi mpk mwakan still huko si kuingilia mwaswala ya soka ndio maana ni mara chzche sana utasikia nchi flan imefungiwa na FIFA kwa sababu ya serikali kuingilia maswala ya mpira, serikali nyingi tu zinaingilia mambo ya mashirikisho yao ya mpira lkn inakuwa ngumu kuprove kuwa ni kweli imeingilia so sio isse rahisi ivyo
Bado kanuni na taratibu za kusogeza mchezo mbele zinaitaka TFF / Bodi ya Ligi kufanya hivyo masaa 24 kabla.Mechi ilihairishwa au muda wa kuanza mechi ndio ulisogezwa mbele kwa saa mbili......kuna tofauti hapa........
Hakuna jambo ilo kirahisi ivyo ,kama yanga atasimamia apo kwa masaa 24 simba nae atasimamia kanuni iyo iyo ya tff inayosema tff ndio mwenye maamuz ya mwsho unatakiwa kutii na kukubal maamuz yao vinginevyo utakua umevunja kanuni adhabu yake ni pamoja na kushushwa daraja ,kama tukirud katika kununi simba na yanga wapo sahihi hakuna wa kupewa point za bure kiufup mwenye makosa ni tff haijalish makosa ayo kasababisha nanKwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za FIFA Serikali hazipaswi kuingilia mambo ya soka au kuyaendesha mashirikisho ya mpira wa miguu ya nchi husika.
Hiyo ina maana kwamba hapa kwetu Tanzania, Serikali hairuhusiwi kuingilia maamuzi ya TFF.
TFF walipaswa kuikatalia Serikali iliposema mchezo wa Yanga na Simba usogezwe mbele kwa masaa 2 maana kanuni na taratibu haziruhusu.
Kutokana na hili sakata, Yanga wanapaswa kupewa point 3 na magoli 3 sababu wao wapo sahihi kikanuni. Nitawashangaa sana Yanga kama watakubali kurudia mechi hiyo. Nawashauri Yanga, ikiwa TFF itakataa kuwasikiliza kuhusu kupewa point 3 basi waiandikie FIFA barua ya malalamiko halafu tuone moto wake.
Yanga msikubali kuchezeshwa hii ngoma ya TFF na Serikali, komaeni mpewe points zenu 3 na magoli 3 sababu wenye makosa siyo ninyi, ni hao TFF na Serikali. Ninyi mlifuata kanuni na taratibu kama zinavyosema.
Kateni rufaa, andikeni barua FIFA watu waadabishwe, heshima irudi. Hao TFF wamejisahau sana hao akina Wallace Karia na wenzake.
Yanga chomeni utambi FIFA, hii ni nafasi yenu adimu ya kurudisha heshima ya soka la bongo.
Fifa inasema serikali isijihusishe na mchezo wa soka.
Yanga andikeni barua.
Kakaa Division sio akili kaka,div ni uwezo wa kukariri...akili ni kitu kingine kabisaNdio mana Manara amewaita takataka. Minafiku. Yaan miandishi na michambuz yetu hovyooo kbsa. Na hii ni kwa kuwa elimu zao ni za chini mno. Ni div 4 na 0. Kama nadanganya hebu mtaje mwenye div ONE / TWO. O- level na A-level
Tafadhali weka hiyo kanuni 24, lazima kutakuwa na kanuni ndogo......kusogeza mbele kunaweza kufanywa kwa dharura, kam mvua nyingi, uwanja haufai kutumika kwa muda ule. Timu kupata matatizo na kuchelewa kufika uwanjani kwa muda sahihi n.kBado kanuni na taratibu za kusogeza mchezo mbele zinaitaka TFF / Bodi ya Ligi kufanya hivyo masaa 24 kabla.
WAZIRI ANASEMA SABABU YA MCHEZO HUO KUSOGEZWA MBELE ILIKUWA NI "NIA NJEMA"Kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za FIFA Serikali hazipaswi kuingilia mambo ya soka au kuyaendesha mashirikisho ya mpira wa miguu ya nchi husika.
Hiyo ina maana kwamba hapa kwetu Tanzania, Serikali hairuhusiwi kuingilia maamuzi ya TFF.
TFF walipaswa kuikatalia Serikali iliposema mchezo wa Yanga na Simba usogezwe mbele kwa masaa 2 maana kanuni na taratibu haziruhusu.
Kutokana na hili sakata, Yanga wanapaswa kupewa point 3 na magoli 3 sababu wao wapo sahihi kikanuni. Nitawashangaa sana Yanga kama watakubali kurudia mechi hiyo. Nawashauri Yanga, ikiwa TFF itakataa kuwasikiliza kuhusu kupewa point 3 basi waiandikie FIFA barua ya malalamiko halafu tuone moto wake.
Yanga msikubali kuchezeshwa hii ngoma ya TFF na Serikali, komaeni mpewe points zenu 3 na magoli 3 sababu wenye makosa siyo ninyi, ni hao TFF na Serikali. Ninyi mlifuata kanuni na taratibu kama zinavyosema.
Kateni rufaa, andikeni barua FIFA watu waadabishwe, heshima irudi. Hao TFF wamejisahau sana hao akina Wallace Karia na wenzake.
Yanga chomeni utambi FIFA, hii ni nafasi yenu adimu ya kurudisha heshima ya soka la bong
Kuna kitu kinaitwa "proof reading" kwenye uandishi wa barua, kitabu, sms au bandiko lolote. Proof reading husaidia kuondoa makosa na hasa barua inapotoka kwenye mamlaka ya juu serikalini.