Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Warudishe pesa za mashabiki kwanza, halafu kila mshabiki ataamua mwenyewe kama atataka kuingia mechi itakayofuata ama la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hujakomalia kitu mkuu hakikisha Una uhakika, hiyo kanuni ya 15 haijaishia hapo Tu, kwahiyo we hujawahi kuona mechi imepelekwa mbele Kwa masaa kadhaa kisa mvua au shida yoyote Ile, kasome tena hiyo kanuni utajua tofauti ya postpone na DelayBado kanuni na taratibu za kusogeza mchezo mbele zinaitaka TFF / Bodi ya Ligi kufanya hivyo masaa 24 kabla.
Uwanja huo huo uliokuwa umeandaliwa. Kwani si hata mashabiki walishaingia uwanjani tokea saa 4 asubuhi. Kama TFF wangekataa ombi la Serikali, hiyo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kuzuia mechi isichezwe. Kanuni na taratibu zilikuwa zinawapa nguvu TFF kukataa ombi la Serikali. Tatizo TFF waliamua kwa makusudi kukiuka kanuni na taratibu zilizowekwa.Kwa mfano TFF, wameikatilia Serikali, huo mpira ungechezwa uwanja gani?
Hapo sasa shida haitakuwa kanuni tena, shida itakuwa ni uoga tu[emoji28].Mechi inarudiwa vipi wakati sheria inaitaka TFF kuipatia Yanga SC pointi tatu maana walifika uwanjani muda wa mchezo na Simba SC hawakutokea. Yanga SC nitawashangaa wakicheza huu mchezo.
Muone huyu nae, hapa duniani kitu pekee ambacho hakihusiani na elimu(maarifa) ni swala la kufanya mapenzi tu, kwakua hata panzi, mbwa, kuku, Bata wanafanya bila hata kufundishwa.futiboli haihusiani na elimu....
Fifa inasema serikali isijihusishe na mchezo wa soka.
Yanga andikeni barua.
Uwanja huo huo uliokuwa umeandaliwa. Kwani si hata mashabiki walishaingia uwanjani tokea saa 4 asubuhi. Kama TFF wangekataa ombi la Serikali, hiyo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kuzuia mechi isichezwe. Kanuni na taratibu zilikuwa zinawapa nguvu TFF kukataa ombi la Serikali. Tatizo TFF waliamua kwa makusudi kukiuka kanuni na taratibu zilizowekwa.Kwa mfano TFF, wameikatilia Serikali, huo mpira ungechezwa uwanja gani?
Ndugu yangu dawa ya jipu ni kulitumbua tu. Hao TFF ni jipu lililoiva na wakulitumbua ni YANGA.Kufikia sasa Yanga SC ndio imebeba hatima ya mpira kwa Tanzania aidha ifungiwe au lah! Yanga SC wakilisogeza hili CAF au FIFA, mpira utaanza kusahaulika.
Mimi sio shabiki wa vilabu hivi ni shabiki wa Kagera Sugar lakini TFF imekuwa na mambo ya hovyo yanayokera, nashangaa watu kulichukua hili kwa mapenzi kuliko mtazamo wa kiuhalisia.
Kanuni inasema taarifa inapaswa kuja masaa 24 kabla. Labda kama kuna dharura inayohatarisha usalama wa watu lakini hakukuwa na dharura yoyote sababu hata mashabiki walianza kuingia uwanjani kuanzia saa 4 asubuhi.Mwenyekiti wa yanga ndio aliowachuuza yanga alikubali na alipewa taarifa saa mbili asubuhi
Chezeni mshinde, Ili mpewe hizo point acheni uoga.Uwanja huo huo uliokuwa umeandaliwa. Kwani si hata mashabiki walishaingia uwanjani tokea saa 4 asubuhi. Kama TFF wangekataa ombi la Serikali, hiyo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kuzuia mechi isichezwe. Kanuni na taratibu zilikuwa zinawapa nguvu TFF kukataa ombi la Serikali. Tatizo TFF waliamua kwa makusudi kukiuka kanuni na taratibu zilizowekwa.
Ndugu yangu dawa ya jipu ni kulitumbua tu. Hao TFF ni jipu lililoiva na wakulitumbua ni YANGA.
Yanga Sc sasa hivi amepata golden chance ya kurudisha heshima ya mpira Tanzania. Ni kweli kutakuwa na maumivu wakati jipu likitumbuliwa lakini ni bora maumivu ya muda mfupi kuliko kuacha uchafu wa TFF uendelee kuwepo.
Mimi nawashauri Yanga kama watanyimwa points 3 basi wapeleke malalamiko yao FIFA.
Ndugu unazifahamu vizuri kanuni na taratibu za kuahirisha mechi au kusogeza muda mbele?Hakuna jambo ilo kirahisi ivyo ,kama yanga atasimamia apo kwa masaa 24 simba nae atasimamia kanuni iyo iyo ya tff inayosema tff ndio mwenye maamuz ya mwsho unatakiwa kutii na kukubal maamuz yao vinginevyo utakua umevunja kanuni adhabu yake ni pamoja na kushushwa daraja ,kama tukirud katika kununi simba na yanga wapo sahihi hakuna wa kupewa point za bure kiufup mwenye makosa ni tff haijalish makosa ayo kasababisha nan
Mkuu ata kama ungesema ukweli kuwa wewe ni shabiki wa Yanga bado haiondoi maana kuwa umeandika kitu usichokielewa vizuri au kama unaelewa basi umeamua kuandika kinazi, na sio kwamba serikali haitakiwi kuingilia mpira issue ni kwamba imeingilia kwenye issue ipi? Kwani serikali iliposimamisha michezo kipindi cha Corona FIFA ilisemaje? Unajua kilichofanya Namungo mechi na Agosto isichezwe kwao ichezwe Tanzania ni nini?Kufikia sasa Yanga SC ndio imebeba hatima ya mpira kwa Tanzania aidha ifungiwe au lah! Yanga SC wakilisogeza hili CAF au FIFA, mpira utaanza kusahaulika.
Mimi sio shabiki wa vilabu hivi ni shabiki wa Kagera Sugar lakini TFF imekuwa na mambo ya hovyo yanayokera, nashangaa watu kulichukua hili kwa mapenzi kuliko mtazamo wa kiuhalisia.
Kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za FIFA Serikali hazipaswi kuingilia mambo ya soka au kuyaendesha mashirikisho ya mpira wa miguu ya nchi husika.
Hiyo ina maana kwamba hapa kwetu Tanzania, Serikali hairuhusiwi kuingilia maamuzi ya TFF.
TFF walipaswa kuikatalia Serikali iliposema mchezo wa Yanga na Simba usogezwe mbele kwa masaa 2 maana kanuni na taratibu haziruhusu.
Kutokana na hili sakata, Yanga wanapaswa kupewa point 3 na magoli 3 sababu wao wapo sahihi kikanuni. Nitawashangaa sana Yanga kama watakubali kurudia mechi hiyo. Nawashauri Yanga, ikiwa TFF itakataa kuwasikiliza kuhusu kupewa point 3 basi waiandikie FIFA barua ya malalamiko halafu tuone moto wake.
Yanga msikubali kuchezeshwa hii ngoma ya TFF na Serikali, komaeni mpewe points zenu 3 na magoli 3 sababu wenye makosa siyo ninyi, ni hao TFF na Serikali. Ninyi mlifuata kanuni na taratibu kama zinavyosema.
Kateni rufaa, andikeni barua FIFA watu waadabishwe, heshima irudi. Hao TFF wamejisahau sana hao akina Wallace Karia na wenzake.
Yanga chomeni utambi FIFA, hii ni nafasi yenu adimu ya kurudisha heshima ya soka la bongo.
Ndugu tatizo siyo uoga, tatizo ni kanuni zinasemaje?Chezeni mshinde, Ili mpewe hizo point acheni uoga.
Nilishawaambia humu Hadi HAO FIFA wenyewe wanaendeshwa na serikali za DUNIA.
ni nani alietoa agizo hilo .. huyu ndio wa kum'bana aseme alitumwa na nani na aeleze sababu ya kusogeza mbele hii game ilikuwa ni nini?Hivi mbona wanakwepa sana kusema ni nini kilisababisha kughairi huu mchezo?
Kwanini hatuambiwi tatizo lilikuwa nini?
Kuna hili pia.....Michezo iliyo na mazingatio maalum, muda wa kuaanza mchezo (kickoff) zitazingatia mazingira husika...Kanuni inasema taarifa inapaswa kuja masaa 24 kabla. Labda kama kuna dharura inayohatarisha usalama wa watu lakini hakukuwa na dharura yoyote sababu hata mashabiki walianza kuingia uwanjani kuanzia saa 4 asubuhi.
Unadhani hiyo kanuni ina apply kila mahala?"Mpira sio wa kila mtu mzee" na unashindwa kutambua sheria ya kuhairisha au kusogeza mchezo ni masaa 24? TFF walifuata kanuni ipi?
Nikiona kijana anatumia emojis na maneno kama 'Ko' nafahamu fika amejawa na tabia za Uswahili.
Unaijua sababu ya kupelekwa mbele ya ule mchezo? Tujuze mkuuKanuni inasema taarifa inapaswa kuja masaa 24 kabla. Labda kama kuna dharura inayohatarisha usalama wa watu lakini hakukuwa na dharura yoyote sababu hata mashabiki walianza kuingia uwanjani kuanzia saa 4 asubuhi.