Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Mdau mambo adharani..... Mpira utarudiwa.... TFF na Bodi ya ligi wamepewa jukumu hilo...Uwanja huo huo uliokuwa umeandaliwa. Kwani si hata mashabiki walishaingia uwanjani tokea saa 4 asubuhi. Kama TFF wangekataa ombi la Serikali, hiyo Serikali ilikuwa haina uwezo wa kuzuia mechi isichezwe. Kanuni na taratibu zilikuwa zinawapa nguvu TFF kukataa ombi la Serikali. Tatizo TFF waliamua kwa makusudi kukiuka kanuni na taratibu zilizowekwa.
Ndugu yangu dawa ya jipu ni kulitumbua tu. Hao TFF ni jipu lililoiva na wakulitumbua ni YANGA.
Yanga Sc sasa hivi amepata golden chance ya kurudisha heshima ya mpira Tanzania. Ni kweli kutakuwa na maumivu wakati jipu likitumbuliwa lakini ni bora maumivu ya muda mfupi kuliko kuacha uchafu wa TFF uendelee kuwepo.
Mimi nawashauri Yanga kama watanyimwa points 3 basi wapeleke malalamiko yao FIFA.
Halafu TFF na Yanga watakaa na Waziri husika kumaliza jakamoyo zao...