Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Kama sio soko la madini limeshuka kwenye soko la dunia sababu ya covid ... nadhani angepata mara nne zaidi ya hiyo hela iliyotajwa
madini gani yameshuka ktk soko la dunia kutokana na covid ..., kama gold mbona imekuwa ikipanda mpaka sasa
 
Afadhali mkuu umeweka historia sawa.
Mtu anamiliki mgodi toka kitambo halafu wanasema amekuwa bilionea sasa hivi
Sasa ajabu ni nini yani?we ukimjua huyo kua ni bilionea maana yake kila mtu anamjua?na kama ni bilionea kitambo ndo nini kweni? Wabongo bwana
 
Upo sahihi. 2018 nilikuwa na mbunge wa siha tulienda hotel flan alikuwa na meeting na huyu jmaa na wenzake ili wawekeze kwenye hospital aliyokuwa akijenga. Walifika na mashuka yao ya kimasai nikashangaa sana. Jamaa anaendeshwa na toyota land cruiser hardtop 2016.

Mzee akaniambia nisishangae hawa jama wanapesa chafu za mawe. Mahoteli makubwa mjini wanamiliki wao ila ukienda makazi wanayoishi huwezi hamini. Wanaishi kawaida sana.
 
Usemalo ni kweli hizo gari amenunua 2014 brandnew toka toyota tanzania,hardtop na hilux revo pamoja na kujenga mall
 
Nilifikiri serikali ya wanyonge ingeenda kuipiga mnada na kumpa highest value..
Kumbe imeamua kuinunua yenyewe..

Halafu hukawii kukuta hii ni sarakasi tusahau timbwili linalomkuta ZZK na Bwege..πŸ™„

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Na kama ameuzia serikali anaweza kubabaishwa sana kulipwa pesa yake. Ila wamasai nao sio watu wa mchezo.mchezo
Serikali watakuwa wanampa miilioni 50 kila mwaka. Washenzi sana. We subiri baada ya miaka 2 utamsikia Laizer analia
 
Hawa ndio wale wale wanaokotoa habari na kuja kuziweka humu bila kujua kuna watu wanajua hizo biashara zaidi yao.

Umemtaja abdillah nkakumbuka hustle zake mwanzoni kabisa kachukua mgodi.
 


Walikua wanapata viloba kwa viloba back in the days, wakina Mathias Manga , Sunda , Chusa na wengineo wamepata Tanzanite zaidi ya hiyo

Ni vile zamani kulikua hakuna ufatiliaji wa serikali na wenyewe wachimbaji walikua hawajitangazi wanafanya siri wakipata mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…