Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

Hata uwe CEO Wa Kampuni gani iyo pesa huwezi ishika,Jamaa ameupata utajiri hakika

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
In the annual analysis of executives' pay at companies in the S&P 500, which is compiled by the AP and Equilar, Su became the first woman to top the list. Her $58.5 million was almost $13 million more than the $45.8 million earned by second-place David Zaslav, the CEO of Discovery Inc.
 
Kampuni za hapa Tz sio uko mtoni

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Shida iliyopa arusha wanunuzi wote wa kihindi wameondoka ndio wangelipa pesa kufuru,wameondoka na bei imeporomoka sana toka gram 1.2m mwaka jana mwezi huu,
Sasa hivi gram ni laki 5 mpka 4 jiwe zuri
heri kuondoka Ili wachimbaji na Wauzaji wasidhuliwe kwa kuuawa Na kuporwa pesa walizokuwa wakiuza gizani na majambazi yaliyokuwa yalikodiwa na wahindi

Heri Tanzanite iuzwe hata robo bei kuliko ya Jun ya wahindi lakini muuzaji awe na uhakika wa kupata pesa zake na uhai wake kuwa salama

Biashara gani mtu alikuwa akienda kuuza anaenda na pistol na kikosi cha kivita kuogopa kudhulumiwa?

Mijambazi ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara sasa hivi iko hoi njaa kali hakuna wa kumkaba biashara ya Tanzanite. Hongera Raisi Magufuli kupambana kisayansi na mijambazi na mitapeli miuza vichupa vikisingizia madini sekta ya madini

Sasa hivi hakuna wa kumtapeli madini mtu akitaka madini anaenda mwenyewe soko la madini
 
Wamemchakachua asee... Hapo kwa mahesabu ya haraka haraka alitakiwa kupewa sio chini ya 19 billions
 
Kweli hela wakati mwingine huenda kwa watu washamba!!.....akina sisi wajuaji hatupatagi...
angekuwa mchizi wangu bwn Nguseroh amapata hizo B.....
angecharaza mademu wote wa America ya kusini....
 
heri kuondoka wachimbaji na Wauzaji wasidhuliwe kwa kuuawa No kuporwa pesa walizokuwa wakiuza gizani na majambazi yaliyokuwa yalikodiwa na wahindi

Heri Tanzanite iuzwe hata robo bei kuliko ya wahindi lakini muuzaji awe na uhakika wa kupata pesa zake na uhai wake kuwa salama

Biashara gani mtu alikuwa akienda kuuza anaenda na pustol na kikosi kuogopa kudhulumiwa?

Mijambazi ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara sasa hivi iko hoi njaa kali hakuna wa kumkaba biashara ya Tanzanite. Hongera Raisi Magufuli kupambana kisayansi na mijambazi na mitapeli miuza vichupa vikisingizia madini sekta ya madini

Sasa hivi hakuna wa kumtapeli madini anaenda mwenyewe soko la madini
Gemstone ni biashara kama kamari unauzia popote,istoshe wahindi ndio walikua wananunua mawe kwa bei nzuri sasa hivi wote wameondoka wamebaki waswahili wenye mitaji ya kuungaunga tu.
Sunda,matias,laizer,onesmos,abdilahi,saitoti wote ni mabilionea kupitia kwa wahindi.

Hawajawahi kuibiwa mawe au kudhulumiwa sunda anamiliki mountmeru hotel kwa pesa zake mwenyewe kutokana na tanzanite
 
Sipati picha wanawake watakavyojipitisha kwa masai, mbaya zaidi Laizer anaweza kuunga juhudi za Rais maana ameambiwa aongeze mke wa KISUKUMA
 
Back
Top Bottom