Mmh! Mkuu unataka kunambia supply ya Tanzanite itakuwa kubwa kuliko demand yake? Hili linawezekana vipi mkuu?Hofu Zangu ni hizi:
1. Very soon serikali itautaifisha huo mgodi wa Laizer,
2. Thamani ya Tanzanite Tanzania itapungua sana due to forces of supply and demand,
3. Itafik Mahala serikali itashindwa kununua hayo makilo yaTanzanite siku zinazosonga ikiwa Laizer atazidi kuyapakuwa wiki hadi wiki.
Acha kuchanganya mafile hivi unajua Laizer week 2 au 3 zilizopita alitoa mawe likiwemo hilo la kilo 6?safi upo sahihi, mimi ndo nipo huku mirerani, hili walilificha ili wakauze nje, na wangepata hela nyingi zaidi ya lile ka kwanza, sema tu muingiliano uliotokea huko chini ndo siri ikafichuka na serikali kuingilia kati. Na pia muelewe laizer sio kama yeye ndo anapata hela kubwa kuliko wote ni hapana,, laizer yeye ni mwenye mgodi, ila kuna wahudumiaji mgodi na hao huwa wana percent kubwa zaidi ya lizer,, unaweza kuta kwenye ile bilioni saba yeye laizer akaambulia tatu tu, na nne ikaenda kwa wahudumiaji,, ila hili jiwe la sasa lina mgogoro na watu wanne, ni stori ndefu nikielezea hapa, na sivuri kiusalama.
Hujamwelewa jamaa ww,huyo Laizer ana shopping mall maeneo ya sakina utamwita maskini?Inategemea na level ya uwekezaji.. anatumia vifaa gani na ukubwa wa eneo lake. Madini unaweza ukashangaa umechimba hata kwenye ukubwa wa chumba cha kulala ukapata jiwe.
Hakuna hata hivyo mahali alipoitwa maskini..ni mchimbaji mdogoHujamwelewa jamaa ww,huyo Laizer ana shopping mall maeneo ya sakina utamwita maskini?
Nan anasemaga kuna mkanda?Wanasemaga kuna mkanda..ukiupata huo we ni billionea mwanzo mwisho.. ndio mabilionea kina msuya waliuana sababu hiyo..huyo laizer ashukuru ulinzi umeimarishwa.
Tembelea mirerani utasikia hiyo habari ya mining beltNan anasemaga kuna mkanda?
- Unajua kwamba gemstones ukizivunja thamani yake inapungua?hayo mawe wanayapata tangu zamani, zaidi ya kilo hizo wanazotangaza, ila walikua wanayavunja vunja, wanagawana kila mtu apate,, na tanzanite one ndo alikua anayatoa mengi tu, ila huwa anayavunjavunja vipande vipande, kwa sababu za kibiashar, ni stori ndefu nikielezea sababu za biashara kivipi.
Wewe Binti hizi nyeti unapata wapi? unanifurahisha.Hapana. Hili alilipata June kipindi kimoja na yale mengine.
Mmh! Mkuu unataka kunambia supply ya Tanzanite itakuwa kubwa kuliko demand yake? Hili linawezekana vipi mkuu?
Ni kweli unachosema lakini hofu yangu ni je uhitaji wa Tanzanite kwenye soko ukoje kiasi kwamba kuwepo na over production ya kupelekea deflation ya Tanzanite kiasi hicho? Mimi sidhani kama yanaweza kuwa mangi kiasi hicho mkuu.Inawezekana kwamba huo mgodi umefika kwenye mkanda wa madini yenyewe maana kila wiki nI kilo zinapakuliwa... Serikali wakiamua ku-commercialise kwa kuleta vifaa bora vya kuchimbia kuna uwezekana wa kufanya over production na hii ikifanyika ndio maana bei yaweza kushuka humu Tanzania na hata pia kwenye soko la Dunia huko Antwerp- ni maoni tu , si lazima iwe kweli...
Kwahi
Kwahiyo Leo wewe ni mchumi Kitaaluma? Maana jamiiforums unajitambulisha kwamba wewe ni usalama wa taifa (kachero) japo wapo ut wachumi 🤣🤣🤣🤣
Kwani wewe ulitaka liuzweje ili isiwe kiki mkuu?
Alafu vipi zile habari za kupigwa kwenye bei ya hayo madini sijasikia likizungumzwa kwenye hili jiwe au tumsubiri Lema atoe neno tuunge mkono hoja?
Siasa inatawala hadi uchimi achia mbali poropangandaBiashara ya kufanyia kwenye TV Ni Kiki. Kama ameridhika kuuza kwa serikali kwa bei hiyo, hiyo ni haki yake, ila angeliuza nje angepata pesa nyingi kuliko hizo anazilipwa na serikali. Hilo ni simple mbona.
Kuwa na Shopping Mall hata kama anamiliki ndege hakumfanyi kuwa mchimbaji mkubwa. Inategemea ame invest kiasi gani kwenye hiyo migodi. Ambayo itaonekana kwenye equipment, number of employees, production, area etcHujamwelewa jamaa ww,huyo Laizer ana shopping mall maeneo ya sakina utamwita maskini?
sijui uhitaji wa soko ukoje, lakini kwa kila mwezi wanapotangaza kwamba wamepata kilo fulani, dunia ina take note... kumbuka hakuna sehemu yeyote duniani humu mzigo wa kilo 9 na kuendelea wa Tanzanite umewahi kupatikana... thamani yake imekuwa juu kutokana na ugumu wa upatikanaji wake... sasa hawa mabeberu wakisha jua tu inapatikana kirahisi, maana yake ni kuipunguzia bei- more production - less demand - less price... yafaa sawa serikali iweke muongozo wa production na uuzwaji... kumbuka mafuta namna yanavyopanda na kushuka bei- ni principle hiyo hiyo inatumika kupanga bei ya malighafi duniani.. supply , demand and price... na ni principle hii hii inayo determine dola moja kuwa sh 2000 au zaidi au poundi kuwa zaidi ya Tsh 2500...Ni kweli unachosema lakini hofu yangu ni je uhitaji wa Tanzanite kwenye soko ukoje kiasi kwamba kuwepo na over production ya kupelekea deflation ya Tanzanite kiasi hicho? Mimi sidhani kama yanaweza kuwa mangi kiasi hicho mkuu.
Funguka kidogo mimi nitamaliziaSipingani na Laizer ' Kuyaibua ' hivi haya Mawe ya Thamani, ila kwa Sisi ' Critical Thinkers ' tayari tumeshaanza kupatwa na Hofu juu ya Kitu fulani.
Ww ndio nikuulize sababu mm nipo kwenye hili game napambanaTembelea mirerani utasikia hiyo habari ya mining belt
Dah kwahiyo tukifanya biashara kwenye TV itakuwa ni kiki?Biashara ya kufanyia kwenye TV Ni Kiki. Kama ameridhika kuuza kwa serikali kwa bei hiyo, hiyo ni haki yake, ila angeliuza nje angepata pesa nyingi kuliko hizo anazilipwa na serikali. Hilo ni simple mbona.