Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Huwezi kunielewa, mimi nipo huku kwenye mgodi wa chusa, naelewa nini kinaendelea,, wewe una ujuzi gani bro?
 

Ni kiki ya wazi. Ni kweli ni salama kuiuzia serikali, lakini faida yake ni ndogo. Kwani yeye akienda kuiza huko nje anauza kama serikali ya Kenya?
 
BILIONEA LAIZER AKIKABIDHI JIWE JINGINE KWA SERIKALI Jiwe la madini ya #Tanzanite la mchimbaji mdogo Saniniu Laizer lenye uzito wa kilogramu 6.33 ambalo amelikabidhi kwa serikalini leo na kupokea fedha zake taslimu Shilingi za kitanzania takribani Bilioni 4




 

Attachments

  • 1596445823252.png
    87.5 KB · Views: 1
Nilikuwa najiuliza hivi imewezekanaje baada ya jiwe la kwanza, 2 weeks likaja lingine?

Kama anayo mengi ayatoe tu, hili mbona kama ni attention ya 2020?
 
Ni sawa kabisa mkuu, lakini nikukumbushe kuwa demand ya Tanzanite sio rahisi kushuka namna hiyo kwasababu demand yake kwenye soko ni kubwa duniani kote, alafu upatikaniji wake hauna uwanda mpana kwasababu wazilishaji wa Tanzanite ni wachache. Kama Tanzanite ingekuwa inapatikana maeneo mengi tofauti tofauti duniani Kama ilivyo gold basi kweli ingekuwa rahisi sana kushuka.
lakini pia ishu ya ushindani wa kibiashara kutoka foreign companies ni kubwa hii inatupa nafasi ya sisi kuuza Tanzanite yetu kwa bei nzuri sababu tutakuwa Monopoly wa hayo madini.

Halafu siamini Kama Tanzanite ipo nyingi kiasi hicho hadi kufikia kuwepo na over production sidhani kwa kweli mkuu.
Na Kama serikali imeamua kuwekeza kwenye hii biashara basi sidhani kama watayauza ovyo kwa matakwa ya hao mabeberu hadi kufikia kushuka bei kiasi hicho.
 
Mkuu sipingani na wewe, lakini ukisoma hapa utagungua mipango ya mabeberu ni kuipunguza bei..
soma hapa: Tanzanite Price & Tanzanite Value (Updated 2020)
 
utaendaje kuuza nje na kodi serikali itapataje? na wakati umechimba hapa,, ndo mana kumewekwa ukuta, kinachotoka chini kinauzwa palepale kwa mtu yeyote mwenye uwezo, serikali inapata kodi, kisha wewe ndo unaweza kulipeleka nje ukauze utakavyo,, ila sheria likitoka tu pale shimoni linauziwa hapohapo.
 
huwezi kunielewa, mimi nipo huku kwenye mgodi wa chusa, naelewa nini kinaendelea,, wewe una ujuzi gani bro?
Sio kila aliyewahi fika mgodini anayajua madini, ts obvious kwamba hujui chochote kuhusu gemstones.
Madini ni taaluma na sio kitu cha kujiongelea unavyojua wewe.
 
Kuna watu hiki kitu hawataki mkuu, Kiukweli Tanzania ilikuwa hainufaiki chochote na haya madini yote yalikuwa yanatoreshewa Kenya, we watu hawana hata mgodi mmoja wa Tanzanite alafu eti ndio wanaongoza kwa uuzaji inauma sana hii ndio maana Wana chuki kubwa mpaka kuzuia watanzania wasiende kwao kwasababu ya kuwakatia mirija ya ulaji wao. Acha sasa Tanzanite yetu ibaki hapa hapa.
 
wewe endelea kuongelea elimu ya vitabu, mimi naongelea ninayoyaona huku shimoni. kwahiyo siwez bishana nawewe uliekaririshwa.
Sio kila aliyewahi fika mgodini anayajua madini, ts obvious kwamba hujui chochote kuhusu gemstones.
Madini ni taaluma na sio kitu cha kujiongelea unavyojua wewe.
 
Laizer ni sweet bebe kwa maopportunist na madanga ya town

Imeisha iyo!
 
Hilo alipata pamoja na yale mengine. Sema hili walificha naona walitaka kulitorosha sema serikali ina masikio marefu.
...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...serikali inakaba mpaka penati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…