Mchimbaji mdogo Laizer akabidhi jiwe lingine la Tanzanite lenye uzito wa kilo 6.33 Serikalini

Kwani akificha kuna kosa kisheria?
 
Sijawaza huko ni nimewaza huenda anayo mengi alikuwa kaficha
 
Ndo hapo sasa
 
Mawazo mazur haya [emoji122]
 
Anatumika tu kupoozesha trending news za lissu na chadema, yawezekana ni yale yale ya mwanzo, pia serekali ina stock ya madini bot so wanachomoa moja anapigwa picha habar inatrend watu wanamsahau lissu kwa muda.
 
Kaficha au alihufadhi Mali yake ndani wakuu?

Na jalibu kuwaza Kama CCM na CDM watakaa meza Moja baada ya electional 2020..

Somoking Weed at Manda bay
 
Anatumika tu kupoozesha trending news za lissu na chadema, yawezekana ni yale yale ya mwanzo, pia serekali ina stock ya madini bot so wanachomoa moja anapigwa picha habar inatrend watu wanamsahau lissu kwa muda.
Kama ni hivyo sawa hii mbinu ya medani uwanja
 
Kaficha kivipi?? Na ni mali yake.
Kipindi serikali inawatafuta wanaoficha madini au kusafirisha kuuza nje ili kukwepa kodi wee ulikuwa huoni walivyokuwa wanatafutwa hawa wafanya biashara?
 
Kwa niaba ya familia yetu niseme tu ni kwel baba angu mdogo analo jiwe kubwa la kilo 150 tumelificha ndani.
Tutamega vipande vidogo vidogo na kuiuzia serikali hadi liishe.
By
Msemaji wa familia ya Saniniu Laizer
 

Kwani sheria haimruhusu kutunza ndani? Sasa kama kulikuwa hakuna soko, angefanyaje? Hii ni mbinu ya kutaka kumdhulumu sasa. Au hii ni mbinu ya kiaina ya watu kupata fedha ikiwemo kutakatisha, maanake uchaguzi upo around the corner.
 
Tatito mnatetea ujinga.
Kipindi serikali inawatafuta hawa watu kuwa wameficha madini au kwenda kuuza nje kukwepa kodi ulikuwa hulioni hili?saa hivi wamebanwa ndio wananyiosha mikono juu kuyatoa
 
wivu umeshaanza kuwaingia nyie mambumbumbu ya maisha! Na nyie nendeni mkaibue ya kwenu mliyoficha ndani!
Mijitu kila wakati imekaa kuwazia wengine vibaya badala ya wao kuhangaika kama mwenzao!
 
Jiongeze kidogo ...kwanini ni kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu? Je huu sio utakatishaji fedha ili chama fulani kipate pesa ya uchaguzi?
Jiulize kwanini Laizer ambaye ni tajiri tayari? Huyu ana makandokando yake hivyo hawezi kupiga kelele kwenye kufanikisha dili
Huyu ni tajiri tayari hivyo hataonesha tofauti ya kabla na baada
Hii ni reincarnation ya deep green, Kagoda na Anglo gold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…