Nikweli kabisa mkuu lkn ujue kuwa hakuna utawala wowote hasa ktk nchi za afrika ambao wapo tayari kwa dhati hasa kuwapa elimu bora wanachi wake maana wanaelewa kuwa wananchi wakielimika ndio watakuwa chachu ya kuhitaji haki na hivyo kuwaondosha kwenye utawala waoWatu wakipata elimu hata hao viongozi wabinafsi wanaofumbia macho hawatoweza kuendelea na upuuzi wao!!Elimu tu basi ndio dawa yao
Sasa kama ni hivyo ni tahadhari gani tanzania kama taifa tunachukua dhidi ya hawa wachina ili kulinusuru taifa kuingia kwenye janga kubwa la uhalifu wa rasilimali zetu?
Mkuu Gwallo kweli ni safari ndefu na mchina ametuzidi sana ujanja hasa kwa kutumia umasikini wetuIli kuilinda rasilimali zetu na hifadhi zetu ibaki salama dawa si kumtokomeza "KUPE" bali anayempa kupe maisha. Bila kuifumua ccm ambaye ameshikamana na mchina bado safari yetu ni ndefu kudhani hifadhi zetu ni salama!!!!!!!
Hapo kuna hatari Wanajifanya kununua hayo mabondo kumbe wana import mzigo kutoka serengetiYani wachina ndani ya miaka mitano hii wamekuwa wengi hapa tanzania wengine hapa mwanza wanajifanya kuwa wana nunua mabondo ya sangara kumbe ni weizi wakubwa.
Tusubiri tushuhudie jinsi watakavyo ipukutisha nchi yetu baada ya kuanza kijenga reli ya katiNilikwisha sema kila baya la ovyo ovyo nchini siku hizi ni wachina. Wazuri ni wale waliojenga TAZARA enzi zile, japo nao walituibia nyara na madini mengi. NAWACHUKIA sana hawa!
Haki za binadamu kwao ni issue, ukipinga chama kilichoshika hatamu unafungwa na huo ndio mwisho wako. Kuna soko kuu la human organs China, ukitaka figo, au ini unauziwa, inasadikika ni vya wafungwa. Sasa unategemea wataonea huruma wanyama?
Hapo kuna hatari Wanajifanya kununua hayo mabondo kumbe wana import mzigo kutoka serengeti
Unakoelekea Iko siku utakuja na hoja ya pembe za nyumbuMkuu huo ndiyo ukweli ingawa kuna watu watakuja kupinga ila hali ndiyo hiyo
itafika mahali l tanzania itakuwa jangwa la kuchukua viungo vya wanyamvna sio albinoWachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu hasa viungo vya wanyama wetu.
Jana uwanja wa ndege jijini DSM amekamatwa mchina akiwa na meno ya ngiri akijaribu kuyatorosha kwenda nayo kwao.
Mkuu ni kweli na ninafikiri huu ungekuwa ni wakati muafaka kwa watawala wetu kulitangaza taifala wachina na wachina waliopo nchini mwetu kuwa ni jangaitafika mahali l tanzania itakuwa jangwa la kuchukua viungo vya wanyamvna sio albino
Haki za binadamu kwao ni issue, ukipinga chama kilichoshika hatamu unafungwa na huo ndio mwisho wako. Kuna soko kuu la human organs China, ukitaka figo, au ini unauziwa, inasadikika ni vya wafungwa. Sasa unategemea wataonea huruma wanyama?