Sky Eclat Mkuu unataka kusema anayehitaji ini akifika bei elekezi ya serikali ya China anachukuliwa mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa then wananyofoa ini inauzwa wanafanya replecement. Aise duuuu hii nalo ni jambo.
Wangekuwa wanarecycle ambavyo wengine wamemaliza kazi navyo ningewaona wa maana sana. Matumizi na uvunaji wao sio endelevu rebirth kwao ni msamiati wasioujua na hawaheshimu tamaduni na mifumo ya watu wengine ya maisha.Wao wanaamini kuwa kila kitu hapa duniani kina faida "nifaae nikufaae" yaani Recylce~reproduce~rebirth nk nk.... Wee tupa huko yeye anaokota !!
Poyo Kama wewe lazima use me hivyoHuna akili kabisa
Hadi sasa watanzania bado tunajiuliza kuhusu ile meli ya kinana iliyokamatwa ughaibuni na mzigo mkuubwa iliishia wapiNakumbuka Rais Magufuli kwenye kampeni alisema, "Nitagawa kombania, platuni na section ya Tembo, ili kila Tembo atakaetolewa ndovu, viongozi wa section husika wote, mtajibu shutuma!!! Kwa wanajeshi wanaelewa nasema nini" mwisho wa kumbukumbu..
Ili kila tembo atakaetolewa ndovu?!Nakumbuka Rais Magufuli kwenye kampeni alisema, "Nitagawa kombania, platuni na section ya Tembo, ili kila Tembo atakaetolewa ndovu, viongozi wa section husika wote, mtajibu shutuma!!! Kwa wanajeshi wanaelewa nasema nini" mwisho wa kumbukumbu..
Hivi kama taifa tunashindwa nini kusema sasa china basi nchini mwetu?Wangekuwa wanarecycle ambavyo wengine wamemaliza kazi navyo ningewaona wa maana sana. Matumizi na uvunaji wao sio endelevu rebirth kwao ni msamiati wasioujua na hawaheshimu tamaduni na mifumo ya watu wengine ya maisha.
Hawa wachina wa sasa sio wale wa Mao tse tung.Wachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu hasa viungo vya wanyama wetu.
Jana uwanja wa ndege jijini DSM amekamatwa mchina akiwa na meno ya ngiri akijaribu kuyatorosha kwenda nayo kwao.
Tunawalaumu bure north korea kwa uvunjifu na ukandamizaji wa demokrasia kwa kuwaonea,nadani wachina nao ni hatari kwa demokrasia na haki za bnadamuSky Eclat Mkuu unataka kusema anayehitaji ini akifika bei elekezi ya serikali ya China anachukuliwa mfungwa aliyehukumiwa kunyongwa then wananyofoa ini inauzwa wanafanya replecement. Aise duuuu hii nalo ni jambo.
Matusi unayafahamu wewe!?Kwa matusi wewe bado unashikilia usukani kwa 100%
hawa wachin ifike mahali waondolewe wengi wao ni wezi na majangiliWachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu hasa viungo vya wanyama wetu.
Jana uwanja wa ndege jijini DSM amekamatwa mchina akiwa na meno ya ngiri akijaribu kuyatorosha kwenda nayo kwao.
wamemaliza tembo sasa wamevamia ngiri hatari sana hawa ndugu zake JKWachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu hasa viungo vya wanyama wetu.
Jana uwanja wa ndege jijini DSM amekamatwa mchina akiwa na meno ya ngiri akijaribu kuyatorosha kwenda nayo kwao.
Mkuu nishawahi kusikia hii ya uuzaji wa human organs, familia za mashambani nyingi zinakiuka one child policy ya China ili kupata wafanyakazi wa mashambani. Watoto wa pili na kuendelea hawana documents za utambulisho wanapokamatwa na authorities wanachukuliwa wanatolewa organs apparently without anesthesia. A lot of journalists have tried to find proof lakini hawajaweza.Haki za binadamu kwao ni issue, ukipinga chama kilichoshika hatamu unafungwa na huo ndio mwisho wako. Kuna soko kuu la human organs China, ukitaka figo, au ini unauziwa, inasadikika ni vya wafungwa. Sasa unategemea wataonea huruma wanyama?
ndio hapa kuna uzi juzi kati kuna mchina kaimba taarabu haya majamaa hi janga yanajifanya ni mawekezaji kumbe wauwaji wakuu wa pembe za ndovu ni waoDaaaaaa,hiyo ni zaidi ya vituko yaani mchina anaimba taarabu?