Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

CCM rafiki Yake ni CCP huko china lakini nashangaa china hawana low Iq kwenye chama chao kama lusinde
 
Ndicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika

Mchina rafiki yetu wa dhati kwa hio alikuwa hachangii mpaka bajeti ya shirika la afya imetikisika

Mchina rafiki yetu ana mpango gani
tatizo lenu ndio hili omba omba? Mnataka msaidiwe tu everything? Mchina ni mfanya biashara hayuko kwa manufaa ya mtu mweusi
 
Ndicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika

Mchina rafiki yetu wa dhati kwa hio alikuwa hachangii mpaka bajeti ya shirika la afya imetikisika

Mchina rafiki yetu ana mpango gani
Forget it man not every friend is a true friend

Just keep living, forget about them
 
Mchina alikua anagoma kutambulika kama taifa tajiri ili aendelee kupata ruzuku ya mataifa maskini duniani. Ikabidi USA imfosi, in retaliation Mchina akacontrol sarafu yake thamani kua moderate ili soko lake liwe affordable kwa sarafu za mataifa hohehahe.

USA ndiyo anapambana kwenye hili swala pia.

Sasa anapanga foleni na wewe ili atambulike na yeye maskini huyu ni rafiki wa kukuokoa? Si ndiyo walikuja kuuza mahindi ya kuchoma hawa?
 
Ndicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika

Huyo anaeitwa adui kasitisha misaada, kelele zimekuwa nyingi sana, Mchina rafiki yetu alikuwa hachangii ?

Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada.
Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.

Mfano mzuri hapa kwetu wewe kujengewa Tazara na kuletewa ARV kipi kina maana? Hadi leo Tazara inatushinda na Mchina anatusaidia.
 
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓

Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ?
Iko siku waafrika tutaamua na tutaanza kutumia akili, kwa sasa ngoja kwanza tutumie akili za weupe,, za kwetu zimedorora, zimelewa zimechoka na hatuijui tunataka nini.
 
Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.

Mfano mzuri hapa kwetu wewe kujengewa Tazara na kuletewa ARV kipi kina maana? Hadi leo Tazara inatushinda na Mchina anatusaidia.
Tazara waliijenga bure ?
 
Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
Trump kasema hawasaidii watu wenye kuugua VVU Afrika nzima kwa hio jiandaeni kisaikolojia hapo kidonge kimoja cha ARV bei yake ni mlo wa wali ndondo wiki nzima milo mitatu chukua calculator
 
Tazara waliijenga bure ?
Wametoa hela zao ndio, mpaka leo hawajalipwa na mpaka matengenezo tunawategemea watusaidie, na Si Tazara tu China ametengeneza barabara mpya na kukarabati za zamani zaidi ya km 100,000 Africa nzima.

Kama unapewa opportunity kama hio kujengewa reli km zaidi ya 1800 kwa miaka zaidi ya 50 huwezi kuitumia kuingiza faida utamlaumu mchina?
 
Mnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia

Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
 
Mnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya UN ujue kuwa China ameshakuchangia

Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
ARV
P2
Kuna zile zingine ukigonga ukahisi umegonga kwenye ngwengwe ukienda unapewa zinaitwa?
 
Back
Top Bottom