Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mara nyingi wajinga wanakua wa kwanza kulalamika wenzao ni wajinga badala ya kutoa hoja.

Utaona anaanza na matusi, anachanganya vitu hajui aseme kipi kisha anamalizia na anachohisi ndiyo dawa.

Kama unaamini una hoja weka mezani. Kama hauna kaa kushoto
Yaan umemjibu kisoma km upo Cambridge University
 
Mara nyingi wajinga wanakua wa kwanza kulalamika wenzao ni wajinga badala ya kutoa hoja.

Utaona anaanza na matusi, anachanganya vitu hajui aseme kipi kisha anamalizia na anachohisi ndiyo dawa.

Kama unaamini una hoja weka mezani. Kama hauna kaa kushoto
Kasome hoja zangu kwenye meseji #16 na #38 halafu tuanze ku-argue
 
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓

Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
Mkulu.
Nani huyo anaitwa adui kwanza?? Mbona munatulisha maneno Batanzania?
Bajeti imeyumaba wapi?

Hizi propaganda zenu za kudhalilisha na itoshe kutuchonganisha na mataifa makubwa muache. Haitusaidii

Endeni nyie mkagombane na China kama mlivyosema, endwni mkamalize vita mliyosema mtamaliza siku ya kwanza, endeni mkawapunguzie bananchi yenu makali ya capitalism.
Adui ya Rafiki yangu ni Rafiki yangu

Narudia , wacheni kuwamezesha batanzani chuki zenu wenyewe. Lizard mwe
 
Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.

Mfano mzuri hapa kwetu wewe kujengewa Tazara na kuletewa ARV kipi kina maana? Hadi leo Tazara inatushinda na Mchina anatusaidia.
Huyu mchina wa ku-copy na kupaste vifaa vya mzungu?
Ajenge bure? Hata Russia hawezi kufanya hivyo.
Wachina wamekuja kuuza mahindi ya kuchoma, kelele kama zote
Hongera umetumia akili ya ccm
 
Mkulu.
Nani huyo anaitwa adui kwanza?? Mbona munatulisha maneno Batanzania?
Bajeti imeyumaba wapi?

Hizi propaganda zenu za kudhalilisha na itoshe kutuchonganisha na mataifa makubwa muache. Haitusaidii

Endeni nyie mkagombane na China kama mlivyosema, endwni mkamalize vita mliyosema mtamaliza siku ya kwanza, endeni mkawapunguzie bananchi yenu makali ya capitalism.
Adui ya Rafiki yangu ni Rafiki yangu

Narudia , wacheni kuwamezesha batanzani chuki zenu wenyewe. Lizard mwe
Ukiwa wapi umereport?
 
Top 10 UN budget contributors:

🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)

Kuna mataifa hapo yanatajwa kuwa developed na bado yamepigwa gap na developing country China
Hiki ulichoandika umekiandika general and vague ili kumislead watu

Huu mchango ni strictly kwenye peace keeping. Kwa makusudi hujasema hivyo ili ionekane ni overall.

Hii ni 2023 China bado inajiconsider developing country

Hujaona zile Yutong za ccm?

Screenshot_2025-01-28-10-56-28-1.png
 
Kama zilikua hazijibu nilichoandika itakua ni kutanua mada bila ulazima.
Umeona nilichokwambia tumekubaliana tuanze kwenda kwa hoja unaanza kujitetea.

Siku nyingine uwe unakuja na fact kwenye hoja zako humu watu wana uelewa wa mamho usidhani utawapanga tu na hoja dhaifu zisizo na mashiko
 
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓

Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
Acha akili za omba omba fikiria kusimama kwa miguu yako mwenyewe.
Marekani na Ulaya wanazinyonya nchi za kiafrika na kuziacha na madeni huku wao wakila riba kubwa sana kulinganisha na hiyo misaada yao. Soma hapa
what is Africa net outflow in US $ to west vs inflow from west

In 2023, Africa experienced a net outflow of approximately $1.4 trillion due to capital flight, significantly exceeding the foreign direct investment (FDI) inflows from the U.S., which were about $56.29 billion[1][4]. Conversely, remittance inflows to Africa reached around $90.2 billion, highlighting the continent's reliance on these funds[3]. Overall, while Africa continues to receive some financial support from the West, it remains a net creditor due to substantial outflows driven by illicit financial activities and capital flight[4][8].

Citations:
[1] U.S. foreign direct investments in Africa 2023 | Statista U.S. foreign direct investments in Africa 2023 | Statista
[2] Financial Flows - ISS African Futures Financial Flows - ISS African Futures
[3] RemitSCOPE Africa Africa
[4] Out of Africa: Capital Flight - Global Financial Integrity Out of Africa: Capital Flight - Global Financial Integrity
[5] Foreign direct investment to Africa defies global slump, rises 11% Foreign direct investment to Africa defies global slump, rises 11%
[6] Foreign direct investment, net inflows (BoP, current US$) World Bank Open Data
[7] Illicit Financial Flows from Africa: track it, stop it, get it | Africa Renewal Illicit Financial Flows from Africa: track it, stop it, get it
[8] Illicit financial flows: Africa a net creditor to the rest of the world https://www.afdb.org/en/news-and-ev...a-net-creditor-to-the-rest-of-the-world-11887
[9] South Africa - Net Financial Flows, Others (NFL, Current US$) South Africa - Net Financial Flows, Others (NFL, Current US$) - 2025 Data 2026 Forecast 1970-2023 Historical
 
Mnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia

Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
Hapana Hapana xi xi ping.

Hapana.

Hao sio Batanzanie. Hakuna Watanzania wenye lugha hizi za kipropaganda.

Hii ni lugha ya kisayansi na ni mbaya sana kwa Watanzania.

Na ww uww unafanya critical thinking kabla hujaanza kuropoka na kuwatukana Batanzani at kwa sababu mtu mmoja ja amesema maneno mbaya na umbecile.

Who is to say hizi sio kampeni zenu, mnasaidiana?? msitifanye hatujui mnafanya nn

Itoshe hata hio misaada yenu hatutatki

Use your Critical thinking. Pumba mnywwe
 
Back
Top Bottom