Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Rafiki bora ni yule anaekufundisha kuvua samaki(kujitafutia) na sio yule anaekupa samaki(msaada)

Mpaka sasa si china, marekani, ufaransa, urusi wala mwarabu ambae ni rafiki wa kweli kwa afrika kila mmoja anataka afanikiwe yeye.

Africa hatujitambui, viongozi wetu ni wasaliti kwa mataifa yao.
 
Unaita wenzako hawana akili wakati akili yako imejaa masabufa, unafkiri kwenye hizo import na export hayo masabufa na TV ni rounding figures Tu hizo.

Vitu vitatu tunanunua nje Kwa wingi
1. Machinery
2. Transport
3. Petroleum na Chemical products.

Leo hii kuna viwanda vya kina Bakhresa unafkiri mitambo imetoka wapi? Tuna viwanda vyetu vya Tiles unafkiri ingewezekana bila tech ya bei rahisi ya mchina? Angalia walipa Kodi wako wakubwa wanaokuweka mjini biashara zao zinamtegemea Nani, ndio utaelewa nchi inaendeshwaje.
Bado na hasira na wewe kuniuzia Memory Card fake. Uliniambia ni OG 32GB nakuta ni fake.
Wewe na mchina wako ni wasengerema sana
 
Bado na hasira na wewe kuniuzia Memory Card fake. Uliniambia ni OG 32GB nakuta ni fake.
Wewe na mchina wako ni wasengerema sana
Hata China ukikamatwa unatengeneza bidhaa feki wanakufilisi. Tanzania kuna Viwanda vya bidhaa feki kuliko bidhaa fake tu nazo import.
 
Huwa nikisoma nyuzi kama hizi huwa namuelewa sana Mwl Nyerere kusema "ujinga" kama adui wa taifa.
 
Back
Top Bottom