Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Mchina ni biashara, wazungu waliweza kwa kigezo cha human rights
Marekani rafiki wa kweli sio mnafki anakupa hela kisha wewe unaenda kusifiwa km pesa umetoa mfukoni kwako na mabango juu yote yanakusifia wewe tu, Trump hacheki na wanawake bado ana hasira na Kamala
 
Mnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia

Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
Vijana wanakurupuka kuandika nyuzi za kisenge hata bila kufanya utafiti
 
Ni kwavile tu huna akili nani kakwambia marekani anatoa misaada ya Bure? Wewe unadhani mikopo inayodaiwa nchi Yako ya World Bank group na IMF ambayo hata vitukuu vyako havitaweza kumaliza kulipa hiyo hela analipwa nani? Hapa duniani omba upewe akili ila ukipewa ujinga kama wako ni mzigo.
 
Marekani rafiki wa kweli sio mnafki anakupa hela kisha wewe unaenda kusifiwa km pesa umetoa mfukoni kwako na mabango juu yote yanakusifia wewe tu, Trump hacheki na wanawake bado ana hasira na Kamala
Najaribu kujiuliza, wao walikuwa wananufaika na nini, au kuabudiwa tu?
 
China anakupa mkopo na hakupi masharti ya matumizi ikiamua kujenga barabara au kiwanda ni wewe, marekani anakukopesha Tena kwa riba kubwa anakwambia nunua kondom, pambana na rushwa na boresha mazingira hapa kati ya China na marekani nani msenge?
 
Mchina alikua anagoma kutambulika kama taifa tajiri ili aendelee kupata ruzuku ya mataifa maskini duniani. Ikabidi USA imfosi, in retaliation Mchina akacontrol sarafu yake thamani kua moderate ili soko lake liwe affordable kwa sarafu za mataifa hohehahe.

USA ndiyo anapambana kwenye hili swala pia.

Sasa anapanga foleni na wewe ili atambulike na yeye maskini huyu ni rafiki wa kukuokoa? Si ndiyo walikuja kuuza mahindi ya kuchoma hawa?
Angalia pumba nyingine hii

Hivi wanetu huwa hata mnafuatilia masuala ya Kimataifa kweli? Mbona mko weupe sana vichwani na shallow sana. Hizi habari za vijiweni huwa mnazitoa wapi?

By the way kwanza jifunze kutofautisha kati ya taifa tajiri na taifa lenye uchumi mkubwa
 
Tunafanyaga makosa saana kuiringanisha ama kuipambanisha US na China. Misaada ambayo US anaimwaga duniani kwa miaka yote, ukimwambia China afanye hivyo kwa miaka hata 10 utaona povu lake.
Hakuna msaada wowote anatoa marekani Bure usiwe mpumbavu. Marekani anatoa mikopo mikubwa kupitia world bank na IMF na federal government, marekani anakalia nchi zenye rasilimali kama Syria, Iraq , Saudi Arabia n.k na anaingia mikataba ya kuchukua hizo mali
 
Mnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia

Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
Leta figure sio maneno
 
Mtu anachukua 90 % ya resources zako anakuriudishia 10 % anakwambia nimekupa msaada na wewe unashangilia kama zuzu. Pumbavuu
 
Najaribu kujiuliza, wao walikuwa wananufaika na nini, au kuabudiwa tu?
Make Americans Great Again hio ndio slogan ya Bwana Trump wewe mimi rafiki yako nakupa hela ya msaada usiende kuseme bwana hizi hela nimeleta lakini kiukweli hizi hela kanipa rafiki yangu zerominus10 wewe unajiunganishia humo unaonekana wewe ndio umetoa, Trump kasema subiri kwanza
 
Namaanisha mleta uzi hauwezi kuandika usenge tukuache lazima tukuchane tu, uzi umejaa pumba
Pumba km zipi mkuu kulinganisha China na Marekani kwenye Misaada mboni Marekani inapiga gap refu kwenye hilo na hio ipo wazi ndio maana dunia imetikisika baada ya Trump kufanya yake
 
Mtu anachukua 90 % ya resources zako anakuriudishia 10 % anakwambia nimekupa msaada na wewe unashangilia kama zuzu. Pumbavuu
Marekani kachukua 90% ya resources za Nchi yako? Haya taja anapochukulia hizo 90% au ndio kwenye kuokoa zile maiti zinazoishi zisife huo ndio 90% ya resources anazochukua?
 
Leta figure sio maneno
Top 10 UN budget contributors:

🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)

Kuna mataifa hapo yanatajwa kuwa developed na bado yamepigwa gap na developing country China
 
Angalia pumba nyingine hii

Hivi wanetu huwa hata mnafuatilia masuala ya Kimataifa kweli? Mbona mko weupe sana vichwani na shallow sana. Hizi habari za vijiweni huwa mnazitoa wapi?

By the way kwanza jifunze kutofautisha kati ya taifa tajiri na taifa lenye uchumi mkubwa
Mara nyingi wajinga wanakua wa kwanza kulalamika wenzao ni wajinga badala ya kutoa hoja.

Utaona anaanza na matusi, anachanganya vitu hajui aseme kipi kisha anamalizia na anachohisi ndiyo dawa.

Kama unaamini una hoja weka mezani. Kama hauna kaa kushoto
 
LA ilipokua inaungua Mataifa ya Afrika yalikua yanachekelea hatari Bwana Trump akawa anawachora tu, sasa mwalimu mkuu Trump kaingia class na mianzi anaanza kutembeza stick darasa zima limenuna hawaamini wanachokiona

Mshana Jr
 
Back
Top Bottom