baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Huwezi kuelewa sababu hata genge hujawahi kuuza. Let's say leo Unaambiwa Uchague Nchi mbili Usa ama China moja tusiwe na Mahusiano nayo kabisa UNAFKIRI ipi itaiathiri Zaidi Tanzania?Huyu mchina wa ku-copy na kupaste vifaa vya mzungu?
Ajenge bure? Hata Russia hawezi kufanya hivyo.
Wachina wamekuja kuuza mahindi ya kuchoma, kelele kama zote
Hongera umetumia akili ya ccm
Tanzania asilimia 27 za import zetu zote ni China, for comparison asilimia 2 pekee ndio USA.
Same kwa Export, watu wengi tunaowauzia Bidhaa ni India, UAE, South Africa uswisi na China.
Angalau mtu angesema India ni muhimu zaidi kwa Tanzania kuliko China kidogo ungekua na Point ila Usa mchango wake kwa Tanzania ni mdogo sana.