wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
tatizo lenu ndio hili omba omba? Mnataka msaidiwe tu everything? Mchina ni mfanya biashara hayuko kwa manufaa ya mtu mweusiNdicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika
Mchina rafiki yetu wa dhati kwa hio alikuwa hachangii mpaka bajeti ya shirika la afya imetikisika
Mchina rafiki yetu ana mpango gani
Waafrica bila misaada hatutoboi mkuu, Viongozi wanapenda kuitwa phd lakini vitendo zero, Wasomi wana phd za afya lakini wanashindwa kutengeneza dawa.Ni muda wa sasa kujitegemea.
Mtegemea cha ndugu hufa maskini.
Ni kweli.Waafrica bila misaada hatutoboi mkuu, Viongozi wanapenda kuitwa phd lakini vitendo zero, Wasomi wana phd za afya lakini wanashindwa kutengeneza dawa.
Forget it man not every friend is a true friendNdicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika
Mchina rafiki yetu wa dhati kwa hio alikuwa hachangii mpaka bajeti ya shirika la afya imetikisika
Mchina rafiki yetu ana mpango gani
Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.Ndicho tulichoambiwa kwa muda mrefu sana kwamba Marekani ndie adui wa Afrika
Huyo anaeitwa adui kasitisha misaada, kelele zimekuwa nyingi sana, Mchina rafiki yetu alikuwa hachangii ?
Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada.
Iko siku waafrika tutaamua na tutaanza kutumia akili, kwa sasa ngoja kwanza tutumie akili za weupe,, za kwetu zimedorora, zimelewa zimechoka na hatuijui tunataka nini.Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? ππ
Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ?
Tazara waliijenga bure ?Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.
Mfano mzuri hapa kwetu wewe kujengewa Tazara na kuletewa ARV kipi kina maana? Hadi leo Tazara inatushinda na Mchina anatusaidia.
Trump kasema hawasaidii watu wenye kuugua VVU Afrika nzima kwa hio jiandaeni kisaikolojia hapo kidonge kimoja cha ARV bei yake ni mlo wa wali ndondo wiki nzima milo mitatu chukua calculatorMchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
Wametoa hela zao ndio, mpaka leo hawajalipwa na mpaka matengenezo tunawategemea watusaidie, na Si Tazara tu China ametengeneza barabara mpya na kukarabati za zamani zaidi ya km 100,000 Africa nzima.Tazara waliijenga bure ?
Walikufa wakijenga reli imeloa damu za wachina tafuta documentary fulani niliicheck TBC uone walivyokua wakihenyeka kujenga reli iwe jua inyeshe mvua kazi kaziTazara waliijenga bure ?
ARVMnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya UN ujue kuwa China ameshakuchangia
Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N