zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Marekani rafiki wa kweli sio mnafki anakupa hela kisha wewe unaenda kusifiwa km pesa umetoa mfukoni kwako na mabango juu yote yanakusifia wewe tu, Trump hacheki na wanawake bado ana hasira na KamalaMchina ni biashara, wazungu waliweza kwa kigezo cha human rights
Vijana wanakurupuka kuandika nyuzi za kisenge hata bila kufanya utafitiMnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
Najaribu kujiuliza, wao walikuwa wananufaika na nini, au kuabudiwa tu?Marekani rafiki wa kweli sio mnafki anakupa hela kisha wewe unaenda kusifiwa km pesa umetoa mfukoni kwako na mabango juu yote yanakusifia wewe tu, Trump hacheki na wanawake bado ana hasira na Kamala
Hili jukwaa la siasi matusi mwiko huku utachezea ban taratibu mkuu au ulimaanisha yule Mkurugenzi Mkuu wa JKCI Peter Kisenge?Vijana wanakurupuka kuandika nyuzi za kisenge hata bila kufanya utafiti
Mchina alikua anagoma kutambulika kama taifa tajiri ili aendelee kupata ruzuku ya mataifa maskini duniani. Ikabidi USA imfosi, in retaliation Mchina akacontrol sarafu yake thamani kua moderate ili soko lake liwe affordable kwa sarafu za mataifa hohehahe.
USA ndiyo anapambana kwenye hili swala pia.
Sasa anapanga foleni na wewe ili atambulike na yeye maskini huyu ni rafiki wa kukuokoa? Si ndiyo walikuja kuuza mahindi ya kuchoma hawa?
Hakuna msaada wowote anatoa marekani Bure usiwe mpumbavu. Marekani anatoa mikopo mikubwa kupitia world bank na IMF na federal government, marekani anakalia nchi zenye rasilimali kama Syria, Iraq , Saudi Arabia n.k na anaingia mikataba ya kuchukua hizo maliTunafanyaga makosa saana kuiringanisha ama kuipambanisha US na China. Misaada ambayo US anaimwaga duniani kwa miaka yote, ukimwambia China afanye hivyo kwa miaka hata 10 utaona povu lake.
Leta figure sio manenoMnaongea pumba sana vijana wa Kitanzania
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Stop this non sense if you know nothing about the largest donors to the U.N
Namaanisha mleta uzi hauwezi kuandika usenge tukuache lazima tukuchane tu, uzi umejaa pumbaHili jukwaa la siasi matusi mwiko huku utachezea ban taratibu mkuu au ulimaanisha yule Mkurugenzi Mkuu wa JKCI Peter Kisenge?
Make Americans Great Again hio ndio slogan ya Bwana Trump wewe mimi rafiki yako nakupa hela ya msaada usiende kuseme bwana hizi hela nimeleta lakini kiukweli hizi hela kanipa rafiki yangu zerominus10 wewe unajiunganishia humo unaonekana wewe ndio umetoa, Trump kasema subiri kwanzaNajaribu kujiuliza, wao walikuwa wananufaika na nini, au kuabudiwa tu?
Pumba km zipi mkuu kulinganisha China na Marekani kwenye Misaada mboni Marekani inapiga gap refu kwenye hilo na hio ipo wazi ndio maana dunia imetikisika baada ya Trump kufanya yakeNamaanisha mleta uzi hauwezi kuandika usenge tukuache lazima tukuchane tu, uzi umejaa pumba
Marekani kachukua 90% ya resources za Nchi yako? Haya taja anapochukulia hizo 90% au ndio kwenye kuokoa zile maiti zinazoishi zisife huo ndio 90% ya resources anazochukua?Mtu anachukua 90 % ya resources zako anakuriudishia 10 % anakwambia nimekupa msaada na wewe unashangilia kama zuzu. Pumbavuu
Top 10 UN budget contributors:Leta figure sio maneno
Mara nyingi wajinga wanakua wa kwanza kulalamika wenzao ni wajinga badala ya kutoa hoja.Angalia pumba nyingine hii
Hivi wanetu huwa hata mnafuatilia masuala ya Kimataifa kweli? Mbona mko weupe sana vichwani na shallow sana. Hizi habari za vijiweni huwa mnazitoa wapi?
By the way kwanza jifunze kutofautisha kati ya taifa tajiri na taifa lenye uchumi mkubwa