Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

Huyu mchina wa ku-copy na kupaste vifaa vya mzungu?
Ajenge bure? Hata Russia hawezi kufanya hivyo.
Wachina wamekuja kuuza mahindi ya kuchoma, kelele kama zote
Hongera umetumia akili ya ccm
Huwezi kuelewa sababu hata genge hujawahi kuuza. Let's say leo Unaambiwa Uchague Nchi mbili Usa ama China moja tusiwe na Mahusiano nayo kabisa UNAFKIRI ipi itaiathiri Zaidi Tanzania?

Tanzania asilimia 27 za import zetu zote ni China, for comparison asilimia 2 pekee ndio USA.

Same kwa Export, watu wengi tunaowauzia Bidhaa ni India, UAE, South Africa uswisi na China.

Angalau mtu angesema India ni muhimu zaidi kwa Tanzania kuliko China kidogo ungekua na Point ila Usa mchango wake kwa Tanzania ni mdogo sana.
 
Kati ya wewe na mimi nani anamislead watu?

Hapo juu panasema hiyo ni kwa ajili ya peace keeping?

Nikueleweshe sasa iko hivi Mchina ni namba 2 kwenye kuchangia iwe inahusu peacekeepeing au budget ya U.N kwa ujumla

 
I always apply intellectual skills katika arguments

Comprehend, analyze, synthesize and finally evaluate info before I comment

Tangu Marekani imeamua kujitoa WHO nimeona kumekuwa na nyuzi za kipuuzi sana za kulinganisha China na Marekani kwenye bajeti za U.N na zote hazina fact ni mashudu tupu
 
Same old slave mentality.
 
Mchina hatoi msaada wa pesa, mchina hakupi msaada ambao haoni faida yake ya haraka... Mchina msaada anaokupa ni mikopo tena unamwambia unataka mkopo wa kujenga mfano barabara au technology basi yeye atakuletea wataalam wake na vifaa vyake anakujengea anamaliza kazi mkopo anakukata juu kwa juu...
Msaada wa madawa ya binadamu na tiba za kiafya utazipata kwa mzungu sio mchina
 
Mchina Anatoa misaada mikubwa ambayo kama una akili ina maana kubwa kuliko Hizo Arv.

Mfano mzuri hapa kwetu wewe kujengewa Tazara na kuletewa ARV kipi kina maana? Hadi leo Tazara inatushinda na Mchina anatusaidia.
Hiyo misaada mikubwa toka China, yeye anapata nini in return? Najua hakuna kitu cha bure.
 
Hiyo misaada mikubwa toka China, yeye anapata nini in return? Najua hakuna kitu cha bure.
Biashara, mfano China kwake ni rahisi kununua shaba Zambia, ni rahisi kupeleka bidhaa zake Zambia ikiwa Tanzania na Zambia zipo connected na Treni ama kuna Barabara nzuri ya Lami etc.
 
Mchina ni maneno mengi vitendo sifuri.. Halafu mbahiri.
 
Unataka misaada?, rafiki wa kweli hata ktk maisha ya kawaida ni yule anaekupa misaada?

Taifa linaaangamizwa na machizi wasiojitambua...
 
Una upeo mdogo sana wa kufikiria. Kwa vile umejaza takataka za sabufa za kichina na matv ambayo hayana muziki mzuri, unaona mchina ana mchango mkubwa sana?😁😁😁
Hizi takataka zilizojaa mpk iPhone za kichina unaona ni maisha? Hiyo simu bila Marekani na Android yake pamoja na windows yake ungetumia nini? Bila Marekani kuvumbua Artificial intellegence mchina angezindua nini? Hizo treni za umeme marekani walikuwa nazo zamani. Unauziwa bidhaa hazina hata ubora nawe unafurahia? Unajua muziki wa Sony au JBL? Muziki mzuri wamarekani, ndege gani ya abiria imetengenezwa china? Smart tv Android na IOS ni mzungu (wamarekani)
Misaada ya kifedha, madawa, mfumo wa ulinzi ni kutoka Marekani
Wewe utaenda China ili utuletee devices fake uje utuuzie kwa bei kubwa ujione mchina ni mkombozi maisha wako. Utakuta wewe ndiyo uliyeniuzia memory card fake. Ulisema ya 32GB, nafika home kuweka nyimbo, zinaplay 40 tu zingine hakuna. Ng'ombe mweusi kabisa
 
I always apply intellectual skills katika arguments
I believe you do. OK. And in your Intellectual capacity you use blanket statements to disparage intellectually? Unajuaje huyu mleta mada ni Mtanzania?

Comprehend, analyze, synthesize and finally evaluate info before I comment
We appreciate that, howevwr your evaluation was overboard.

Tangu Marekani imeamua kujitoa WHO nimeona kumekuwa na nyuzi za kipuuzi sana za kulinganisha China na Marekani kwenye bajeti za U.N na zote hazina fact ni mashudu tupu
We can Agree hapo. Totally. And I hope we can also agree^ Hizo ni vita zenu kati ya wachina na wazungu?
We can also agree hizo nyuzi ni za vuta ni kuvute, zingine ni zawatu wenye chuki tu, zingine nikupata likes. Nasema hivo kwasababu sijaona nyuzi inayojadili kwa Undani na staha kuhusu suala hili-Tutakubaliana hapo?

Walakin haikupi ruhusu ya kutumia, blatant, and blanketed statement.

Mkulu, I welcome your opinions and thoughts, however, I would like to disagree that 'Vijana wa Tanzania wanaongea pumba' . Sidhani kuna mtanzania anayependa misaada, hususan hii misaada inayotoa m8anya ya rushwa.

One raad brotherπŸ™
 
Unaita wenzako hawana akili wakati akili yako imejaa masabufa, unafkiri kwenye hizo import na export hayo masabufa na TV ni rounding figures Tu hizo.

Vitu vitatu tunanunua nje Kwa wingi
1. Machinery
2. Transport
3. Petroleum na Chemical products.

Leo hii kuna viwanda vya kina Bakhresa unafkiri mitambo imetoka wapi? Tuna viwanda vyetu vya Tiles unafkiri ingewezekana bila tech ya bei rahisi ya mchina? Angalia walipa Kodi wako wakubwa wanaokuweka mjini biashara zao zinamtegemea Nani, ndio utaelewa nchi inaendeshwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…