Unaita wenzako hawana akili wakati akili yako imejaa masabufa, unafkiri kwenye hizo import na export hayo masabufa na TV ni rounding figures Tu hizo.
Vitu vitatu tunanunua nje Kwa wingi
1. Machinery
2. Transport
3. Petroleum na Chemical products.
Leo hii kuna viwanda vya kina Bakhresa unafkiri mitambo imetoka wapi? Tuna viwanda vyetu vya Tiles unafkiri ingewezekana bila tech ya bei rahisi ya mchina? Angalia walipa Kodi wako wakubwa wanaokuweka mjini biashara zao zinamtegemea Nani, ndio utaelewa nchi inaendeshwaje.