Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Mambo mengine jaman ya mtu kujitakia kabisa hivi unachora kitu kama hiki unategemea nn?

Huyu nae tupoteze muda wa kumwombea Kwa mungu?

Ah no way out
Umefufuka leo wewe? hebu rudisha kumbukumbu zako vzruri kuhusu katuni alizokuwa anachora Kipanya na wenzake kuhusu marehemu mwendazake! kimeumana! kuna mtu alidhihakiwa kama Kikwete? kadri wanavyozidi kumkingia kifua mama ndivyo na uongo unaonekana kama ukweli!
 
sema nayeye artist bhana ameshindwa kutumia strong tafsida anaandika kabisa amejiachia kabisa artist wa katun unatakiwa uwe Genius Kama kipanya kipanya amepita Salama kipind kile kwa Sababu ya kuji hides
"mama amefungua nchi" kwa sauti ya Mulamula, kuna ubaya gani wa kufichaficha na nchi imefunguliwa pia uhuru wa kujieleza umefunguliwa!
 
Nataka kuanza kuchora katuni roho inasema acha tu.
Chora mkuu, unajiweka karibu na Ujerumani au USA.....unakuwa mkimbizi wa kisiasa kiulaiini, utarudi kugombea urais...wakikuzingua unakimbilia ubalozini....kwisha habari yao!
 
Chora mkuu, unajiweka karibu na Ujerumani au USA.....unakuwa mkimbizi wa kisiasa kiulaiini, utarudi kugombea urais...wakikuzingua unakimbilia ubalozini....kwisha habari yao!
Ngoja nitafute kwanza nauli ili ikubuma nateleza nchi za watu.
 
Gerson Msigwa Bado hajatoa tamko ?
 
Maushungi kasema demokrasia sio Cocacola😀😀😀,ama kweli Abraham lincoln alikuwa sahihi,"If u want to test a man's character,give him power"!!!
 
KKw
Kwa katuni hiyo sidhani kuna mtu mwingine anaweza kulaumiwa zaidi yake mwenyewe.....

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 

Rais ni Rais Tu Yan uwez kucheza na rais, wa inchi, Sisi tunaishi Kwa mazoea ndio shida,

Pia ni lazima ujue kuna rais wa Aina gani,
 
Hii kesi anashinda asubuhi saa 2 hata bila wakili kama haki ikitendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…