Very true.Sitaki kuwa negative but exam performance na ubobezi katika fani husika ni vitu viwili tofauti.
One can perform wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper but i’m telling u it’s quite diffetent from executing the respective field. Take it from me
Atagongewa sana,mtu mwenyewe anamiliki raum halafu ukimuona mtandaoni unaweza kufikiria kayapatia maisha sana,aendelee kuimba wapoloo wapoloJamaa anaonaga huyo demu ndy kila kitu na ndy demu wa maana sana TZ na kuona wanaume wengine wanawake walionao ni vitumbua, sasa hii ni dharau.
Yakimfika ndy ataelewa hata Zari na hela zote wao na Diamond bado walitifuana.
haeleweki kivipi?Mwanamke mzuri anadate na kimwanaume hata hakieleweki
mzee huwa unamsikiliza Nikki mbishi?Huu ndio mwandiko wa Masters, utopolo kama yule PhD tu!
"Ewe msomi wa shahada sijajua umesoma nini". Nikki Mbishi.
mbona unamdiss muarachuga mwenzako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Atagongewa sana,mtu mwenyewe anamiliki raum halafu ukimuona mtandaoni unaweza kufikiria kayapatia maisha sana,aendelee kuimba wapoloo wapolo
Acha wivu mkuu, na wewe sifia wakoHawa ngoja waachane, jamaa anapenda sana kumsifiasifia na kujidai nae sana hapa mjini. Ngoja tu yatamfika
[emoji23][emoji23]Mwanamke mzuri anadate na kimwanaume hata hakieleweki
Hahaaa hafu ana mponda joan wa Nick wapiliDaaah kuna watu wakibet hawachani mikeka kabisa, unakuta mwambA una demu mmbaya mixer kichwani hamnazo
Koment za huyo dada aiseeDuh! [emoji23][emoji23][emoji23]
Namsifia ila simtangaziAcha wivu mkuu, na wewe sifia wako
Wakichapiwa wanaanza kujiliza umuVijana wanafeli wapi? Mnatangaza tangaza wake zenu hovyo hovyo na kuwasifia bila mpangilio. Huyo ni mke sio biashara.
We tuambie tu huyu msomi wa shahada kasoma nini, maana mwandiko wake hata mwanangu std VI haandiki hivyo.mzee huwa unamsikiliza Nikki mbishi?
Umeona nini hapo kuprove ana akili, kutuma 'maombi' ya u-CAG au kusifiwa tena kwa mwandiko wa hovyo namna ile!!Wanasemaga wanawake wenye mizigo hawana akili. ..kiko wapi