Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

Kataa ndoa point 3 hizi wazee
 
Mkuu naomba namba yake tumpe onyo la mwisho. Hii haikubaliki kabisa
 
Kama kawaida yenu, mnaoa pisi kali ili muwaringishie washkaji kumbe uwezo na akili za kuishi nao hamna.

Mnawaruhusu mpaka wajione wako juu yenu.
Pole sana.
 
Inanikumbusha long time tupo maskani ...alitokea mchizi mmoja wa kuja town kampenda pisi moja hivi malaya kweli kweli...tumekaa maskani jamaa anakuja na ndinga yake anamshusha demu anamfungulia mpaka mlango wa gari...anamkumbatia na kumbusu kisha anamuaga aelekee maskani kwake. Sisi tunavheka tu...baada ya muda kama nusu saa demu anaenda kuoga, anabadili nguo then anaingia viwanja kwenda kujiuza.

Tulimuonea huruma sana yule mchizi kwa kujifanya Mr. nice guy kwa malaya
 
Hivi kuna sehemu bado mahari inagharimu kiasi kikubwa mpaka inakuwa gumzo? Aisee kweli Tanzania ni kubwa. Nilikozaliwa mahari ni jambo lililojifia siku nyingine na hata ikitolewa na kiasi kidogo kama ishara tu.
 
Hakuna mwanamke mwenye kiburi, wewe tafuta hela utakuja kunishukuru. Hii ni siri tunaambiana wanaume kila siku.
 
Kabla sijaachana na mwanamke wa aina hiyo, hospital nilikuwa nashauriwa nijitahidi kula ili walau niongezeke uzito.
Sasa tangu nimepiga chini yule mwanamke ni mwaka sasa aisee ni hatarii,nashauriwa kupinguza mwili haraka iwezekanavyo hasa kitambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…