Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Kuishi na kufa zote ni kheri tu, sasa hata kama asingekufa na korona angeishi milele?
 
hali ni tete 👇
The sailor, whose name has not been made public, is the first active-duty member of the US military to die of COVID-19.
 
Nadhani hii habari umeiandika kidaku sana. Ukisoma ulichoandika kiswahili na English zina tonation tofauti.

Alichokisema mchungaji ni sahihi, hata dunia nzima iangamie (Mungu aepushie mbali) haibadili ukweli kuwa Mungu ni mkuu sana kuliko Corona. Yaani hata lile wazo tu la kulinganisha Mungu na Corona haliingii kichwani.

Kwamba Mungu anaponya nalo ni dhahir shahir.

Issue ya mwanadamu kukosa hekima na kujihatarisha yeye na waumini wake haina effect juu ya kweli hizo Mbili.
 
Huo ukuu uko kwenye nini? Mbona kila mara mungu mkuu, mungu mkuu, huo ukuu uko kwenye nini kama magonjwa tu hawezi kuyaondoa wala kutibu watu wake?

Rais ni mkuu wa nchi kwa sababu inaweza kutokea njaa akaamuru watu wote walioathirika na njaa wapewe chakula, au wajengewe nyumba kama wamepata mafuriko na watu wakaona na wakakiri kweli huyu ni mkuu wa nchi. Sasa Mungu ukuu wake uko wapi? Mbona hauonekani?

Huyo Mungu ambae hawezi kuzuia magonjwa, njaa, vita, mafuriko, majanga ya asili ukuu wake uko wapi? Yaani anakua mkuu huku hawezi kufanya jambo lolote la maana likaonekana?
 
Boss, una tatizo na Mungu? Maana naonaga mashambulizi makali sana inapokuja suala la imani. Kuna research imefanyika ya watu wanavyofuata maagizo ya wataalam wa afya. Christians scored above atheists. Uki apply hiyo blanket logic then atheists are worst than Christians.

Halafu kwenda mbinguni hakuhusiani na kufuata masharti ya ku contain Corona. Na mwisho kama unadhani Mungu ameshindwa na Corona hujawahi kumjua Mungu na una fake view ya Mungu. Laiti ungelimjua usingesema ulichokisema.
 
We jamaa si ndiyo ulikua unatoka ofisini kwako unaenda kunya ule mgahawa Iringa wa mwarabu. Vp ulishaacha katabia?
Hapana, sio mimi, yule anajiita hakimu mkuu kama sijakosea. Niliwahi kuona analalamika amezuiwa kujisaidia kwenye mgahawa wa mtu😀😀
 
Tatizo unampangia cha kufanya. Unahitaji darasa boss. Unahitaji kujua why do we have diseases in the first place. Unakosea unapojifanya jaji na kumgeuza Mungu mshtakiwa. Mshtakiwa anapokuwa hakimu, there's where things start getting fun!
 
Yale yale ya marehemu alikuwa na maradhi mengine,hakuna jipya.

Hadi sasa afrika bado tunatumia mifano ya ulaya na marekani kuonesha uhatari wa corona.
 
Ina maana toka corona imeanza watu bado hawajajinyenyekeza mbele ya Mungu ili asikie kilio chao aiondoe au toka ukimwi umeingia miaka karibu 40 bado hakuna waliojinyenyekeza mbele ya mungu?

Haya mambl ya Mungu ni mambo ya kitapeli tu, mungu hana uwezo wowote.
 
They have poisoned him.

# Corona is a Plandemic
 
Hahahaha poa sana chief nilichanganya mafaili. Nikikumbuka huwa nacheka sana ile stori 😂
Mwenyewe nilicheka sana. Jamaa akataka amepeleke mahakamani mshikaji aliemzuia jamaa asijisaidie kwenye mgahawa wake. Nilicheka sana. Yule jamaa nadhani by profession ni mwanasheria, mimi sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…