Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Mwenyewe nilicheka sana. Jamaa akataka amepeleke mahakamani mshikaji aliemzuia jamaa asijisaidie kwenye mgahawa wake. Nilicheka sana. Yule jamaa nadhani by profession ni mwanasheria, mimi sio.
Literally! M'sheria yule anachekesha sana.
 
Issue ya mwanadamu kukosa hekima na kujihatarisha yeye na waumini
Hayo ndiyo maneno yenye ukweli na sahihi.

Mchungaji huyo marehemu alikuwa mzembe na mtu hatari kwa maisha yake na ya waumini wake.
Kwa vile sina mamlaka ya kuhukumu inabidi nimsamehe tu, ningekuwa nayo huyu ningeanza kumchoma moto kwa dhambi ya kuhatarisha wenzie wasio jitambua.

Huyu hana tofauti na mtaalamu wa saikolojia anaetumia vibaya taaluma yake na kuwapumbaza watu kisha kuwaamuru kutenda jambo lisilo kubarika kijamii, na kisayansi au jambo la hatari.

Kwani huyu mchungaji alikuwa na tofauti gani na Kibwetere wa Uganda?
Gwajima nae na viongozi wetu wa Katoliki, KKT, Misikiti na wasabato wanaoendelea na mikusanyiko kwenye nyumba za ibada wana tofauti gani na Kibwetere wa Uganda aliye wachoma moto waumini wake?
 
Hongera kwa kuona hakuna Kinachoshindikana mbele za Mungu
Ila ugonjwa uliopo Sasa si adhabu bali ni unabii unatimizwa kuhusu kutokea kwa magonjwa yasiyo na tiba katika siku za mwisho
Yoyote yule iwe anamtumikia Mungu au la anaweza kuambukizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jicho lengine hata hayo magonjwa yanayosemwa hayana dawa pia kuna utapeli,yani katika zama ya sayansi na teknolojia tuliyopo tuna kila aina ya wataalamu na madawa chungumzima ila ndiyo tunaugua magonjwa mengi kuliko huko zamani et miaka 40 yote tunakosa dawa ya ugonjwa?
 
Ipo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuu
Huenda ikawa kuchelewa mno Kama farao na jeshi lake walivyolazimishwa kujua kwamba yupo mkuu kuliko yeyote duniani walipokung'utwa baharini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ABJ
Mchungaji hakua mzembe, mchungaji alikua anamtegemea Mungu, tatizo ni Mungu kumuangusha mchungaji. Yeye aliamini Mungu ni mkuu kuliko hako kagonjwa hivyo hana sababu ya kuhofia, ila ajabu kagonjwa kamekua kakuu kuliko mungu.
 
Ipo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuu
Huenda ikawa kuchelewa mno Kama farao na jeshi lake walivyolazimishwa kujua kwamba yupo mkuu kuliko yeyote duniani walipokung'utwa baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hadith za kitoto za kina Farao. Jadili kuhusu corona.
 
Mungu wa maabara labda.
 
Ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If Christians scored above atheists unajua kilichotokea nchinkama South Korea ambapo mama moja alienda kanisani kaambukiza kanisa zima pamoja na kuambiwa akae ndani, kesi zilikua kama 50 sababu ya mtu moja zikapanda hadi 6,000 hilo ni kanisa moja. Wakapigiwa kelele waache kukusanyika kesi zimeanza kupungua wengine wakakutana tena kanisani wanajidanganya kua maji ya chumvi yanatibu corona ghafla namba zikapanda tena, watu karibia wote walioattend hiyo misa walipimwa wakakutwa na corona. Hiyo research ni ya wapi ningependa kujua?

Na fake view ya mungu unayoisema nadhani I have clear view ni watu mlio kwenye kifungo hicho ndiyo mna fake view maana yote mnayosema anayaweza yamemshinda.

Nikuulize kitu, washika dini mnasema Mungu ni all powerful na all loving, sasa kama ni all loving than anyone else anaonaje watu wanaangamia amekaa tu? Watu wanazaliwa na vilema wanaishi maisha yao yote na tabu hadi wanakufa anaangalia tu hawajafanya kosa lolote basi tu ni bad luck. Hiyo ndiyo all loving? Kama ni all loving then basi sio the most powerful meaning haya mambo anayaona ila hawezi fanya chochote coz power hiyo hana. Huwezi kua both loving and most powerful alafu vitu kama hivyo vikatokea. I hope hutajibu “god works in mysterious ways” maana Christians wengi wanahisi wana solution ya kila matatizo
 
Ipo siku utalazimika kujua kwamba Kuna Mungu mkuu
Huenda ikawa kuchelewa mno Kama farao na jeshi lake walivyolazimishwa kujua kwamba yupo mkuu kuliko yeyote duniani walipokung'utwa baharini

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hizo story ka spiderman na thor tu. Kuna story nyingine kasome kuhusu miungu kibao kama Zeus. Tofauti ni kua ukristo ulisambaa sana dunia nzima kuliko dini nyingine ndo maana nyingine zikafa. Ukienda asia utakutana na watu wana dini tofauti kibao wamezaliwa hawajui hata story zenu za yesu unataka uniambie wote wanaishia motoni? 😂 You are in your bubble just as they are all in their bubbles
 
Hata kama kafa kwa Corona hsiondoi ukweli kuwa Mungu ni mkubwa mno kuliko hako kagonjwa.
 
Mungu kashindwa kumlinda mchungaji wake?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…