Je kuna kitu kinaweza kufanyika Nyumbani, Mkoani kwako kama mkuu wa Kaya na usijue ilhali wewe unajifanya ni Mcha Mungu ( Christian ) kila siku kulitaja jina la Mungu alafu umekaa kimya huku unakula kobisi kama ni kitu ambacho hakijawai tokea kwenye kaya yako.
ENGINEER USIFUTE UZI