Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Hakuna mtawala yeyote hapa duniani aliyegusa imani za watu akabaki salama. Nyie jitoeni ufahamu tu.
 
Wewe ndio una roho chafu. Ulikuwa mpiga dili ukabanwa sasa bado unatapatapa. Huna lolote wewe. Hakuna kama JPM huo ndio ukweli mchungu.
Hahaha faller wewe, ntapiga dili kazini kwangu?
Mimi sipigii mtu goti nakamua pesa yangu mwenyewe, nilipo hapa nakamua tu, bwege wewe
 
Katiba Mpya is a must
 
Wala haleti ujuha anaongea kweli.
Salama ya nchi ni kutogusa imani za watu.
Vita vyote husuluhishwa lkn vya kidini ni ngumu mno
Hujui kitu,Subiri Mbowe achukue nchi ndio ulete upuuzi.
 
Hamjifunzi tu kwa Mange, Chahali, Nyalandu, Gwajima, Kakobe, Lowassa na Kigogo?
Hamuwezi kutofautisha watu wenye misimamo ya kweli na wakosa fursa wenye gubu tu ?

Mzee wa upako atawashangaza baada ya mfupi tena.
Good kamanda
 
shida ni dini ya uraisi tu hapo, hakuna kingine.....hivyo visababu vinavyowekwa ni vya kulazimisha tu. Raisi wa kiislamu nchi hii hukutaka na vikwazo na matatizo sana. Watu waliminywa haki zao, walibanwa wasiongee, malisasi yalilindima, utekaji ulishamiri n.k lakini alikuwa kimya km hakuwepo au alikuwa haoni.

Mama kumtikisa mbowe kidogo (jambo ambalo ni la kawaida kisiasa...isitoshe lina sababu zake), na kujibiwa gwajima kidogo (mtu ambaye chokochoko amezianza na kuziendeleza mwenyewe kinyume na utaratibu wa kinidhamu ulizoeleka) tayari huyu anajitokeza na kuongea haya. UDINI, UDINI, UDINI. NI CHOKOCHOKO ZA KIDINI!
 
Mama tumemshauri aachane na siro hataki Sasa subiri asili imlazimishe sisi tumenawa mikono mbele ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…