Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme watanzania sema hayo majinga ya Kigoma. Kwanza Kigoma wengi siyo raia. Hayo majitu yako nyuma kabla ya uhuru wa Tanganyikamchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Misikitini pia walienda?Kanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Punguza kebehi. Ulitaka mchungaji afanyeje?. Aruhusu wachawi kuingia kanisani kuwafurahisha hao waganga.Kanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Mwanadamu akishiba ugali huongea lolote.Kuamini Mungu na Kuamini ushirikina ni vitu vipo sawa na vinafanana yani ni kama shilling moja yenye pande mbili.
Wewe ndio ufunguke. Tofautisha Mungu na miungu. Ukijua tofauti ya hayo majina mawili hutahangaika .Funguka acha kukariri, Kila Jamii ina mungu wake, wachina Wana mungu wao, wahindi, waarabu, wazungu etc wana wa kwao pia, hata waafrica kabla ya ukoloni tulikuwa tuna mungu wetu, sasa Leo mmeletewa mungu na hao wazungu na waarabu mnaona hakuna mwingine, inabidi kutuma akili sana haya mambo ya Imani la sivyo utaonekana chizi tuu, Jamii nyingi sana zimeanza kushtukia huu usanii na hata hao wazungu waliowaletea huyo mungu wameanza kushtukia na kuachana na hayo mambo ya kufikirika na hadithi za watu wa kale
Unaelewa maana ya uchawi?Na kuamini dini nako inakuwaje?
Dini na uchawi vinakwenda sawa
Ila watu Kwa kuropoka eti dini na uchawi vinategemeana. Yani akina mwamposa wamewafanya muamini ujinga Sana.Vyote viwili kuviamini ni uvivu wa kufikiri
Imani ya Uchawi imeletwa na dini
Dini na uchawi ni sawa na simba na yanga zinategemeana na zinaendana
Usikute yeye mwenyewe anaamini na anawapa supportHivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?
Utakuta mtu kama huyu yupo Dar na mshamba hivi,still anaamini mchungaji alifanya kosa na anastahili kichapo. Wallahi watz ni zero brain kabisaKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
hahaha nakuelewa kumaanisha nini 😁"Nikapiga simu polisi ...polisi hawaji
Piga simu polisi hawaji
Nikampigia simu baba askofu alikuwa Dodoma
Ndipo naye akapiga simu polisi baadaye wakaja"
Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake. Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia. My Take Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea...www.jamiiforums.com
Mtumishi angekuwa ni wale wa tuma kwa namba hii ingekuwa sawaa ila huyu ni Anglicana kabisaKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Napiga simu Polisi waje, hawaji. Napiga simu Polisi waje, hawaji.mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Umeambiwa dar hakuna washamba? Tupo wengi mbona.Utakuta mtu kama huyu yupo Dar na mshamba hivi,still anaamini mchungaji alifanya kosa na anastahili kichapo. Wallahi watz ni zero brain kabisa