Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kuna misa za jion huwa zinaendelea mtaani kila nikipita huwa namuona mchungaji tu na wamama wengi yani hakuna Mwanaume hata mmoja alafu sasa kaweka na ratiba ya kuwa anaenda kumsalimia muumini mmoja mmoja nyumban kwake unakuta anaenda mida ya saa 5 Mwanaume hayupo nyumban ye ndo anaenda kutembelea hiyo familia.
Juzi Kati kuna dada mmoja alikua ameacha kuhudhuria misa kadhaa akamtumia wamama waende kumuita bila kuwasiliana hata na mume wa huyo dada, tunaamini kwenye dini Kuna maarifa mengi ya kistaaarabu Hawa wachungaji wajaribu kutumia maarifa yanayofundishwa na hizo dini, hii tabia ya mwanaume kuwa na ukaribu na mke wa mtu kiasi cha kutomshirikisha mume wake chochote na muda mwingine mke anamsikiliza Zaid mchungaji kuliko mume wake iko siku wachungaji itawatokea puani