Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Utashambuliwa kwa kusema ukweliKila sehemu kunakuwa na nyota wa mchezo.
Kanisani star ni MCHUNGAJI NA MPIGA KINANDA.
Hawa watu wanapiga sna MBUPU wake za watu.
99% proved.
Sasa ajitahd apige show vinginevyo bodaboda watamsaidia tenaHiyo ndiyo "pesa"
Unaona sasa mkiguswa mnakimbilia kwenye chuki za kidini
Hapo unazidi kuwasha moto tu na ndio mnapenda mijadala ya hivyo ya kuvutana na matusi juu
Nimekulia huko na nimeyaona sana kina mama nguo wanazovaa kumfurahisha mchungaji
Kweli yapo makanisa yaliyoamua kuwakataza waumini kuvaa vibaya na wajisitiri na matangazo nimeyaona nje
Lakini kubali kuwa yapo mengine mpaka leo bado wanaingia mapaja wazi sio uongo wala chuki niwe Muislam au mkiristo ukweli ni lazima usemwe wala sio chuki kama ulikolipeleka wewe
Wanawake Kwa wachungaji sijui wamewaroga na niniJeuri yao yote ni sadaka zetu
Sawa mkuu yaisheMkuu ndo maana nakwambia rudi bongo uone sio kuandika vitu vya kusimuliwa na kukurupuka kujitetea umekulia huku. Nguo unazoziongelea zipo kwenye masherehe. Nenda Instagram angalia post za slayqueens wakitoka kanisani ni nguo ndefu za heshima.. Wewe ndie unayeleta mijadala ya ajabu ajabu ili mradi tu upate ligi ya udini
Huo ndy ukweli mchungu mkuu,,Utashambuliwa kwa kusema ukweli
Na utaambiwa una chuki binafsi
Wala hawana uchawi wowote,Wanawake Kwa wachungaji sijui wamewaroga na nini
Masanja kapata mtetezi wake kwenye tasnia yao.MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni.
Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke huyo Simon Ngalawa mkazi wa Yombo akilalamika kuwa mkewe Ester Makunya kujihusisha kimapenzi na mchungaji Taji.
Ngalawa anadai baada ya kusikia tetesi hizo kutoka kwa waumini na ndugu zake, alibaini kuwa mkewe alianza kuwa na fedha wakati hana kazi wala biashara yoyote, na baada ya kupitia kipindi kigumu cha maisha kwa miaka mitatu ndipo alipoondoka nyumbani na kwenda kuishi Kiwalani ambako inadaiwa alipangishiwa nyumba na kufunguliwa duka na mchungaji huyo.
Amesema licha ya kuitisha vikao vya familia, kwenda ustawi wa jamii na Dawati la jinsia lakini ilishindikana mkewe kurudi nyumbani ndipo alipoamua kukutana na viongozi wa juu wa kanisa hilo ili kumshtaki Mchungaji huyo.
Taarifa kutoka ndani ya kanisa hilo zinaeleza kuwa Mchungaji Taji amesimamishwa kuhudumu wiki mbili zilizopita huku shauri lake likiendelea kujadiliwa na wakuu wa kanisa hilo.
Chanzo: IPP
Mkishakua na stress kubanduana ishuAlikuwa hamnyandui ipasavyo au pesa hapewi ipasavyo kaamua aende kwa mchungaji kula sadaka.
Mke hataki ndoa so mume asilazishe ndoaJeuri yao yote ni sadaka zetu
Hiyo kwa mujibu wa kitabu kipi na aya ipi?Mkuu suala ni kuwa anatimiza ahadi ya kuwa na mke mmoja wa kufa na kuzikana. Akimuacha inatakiwa aishi bila mke maisha yake yote kwakuwa akioa atakuwa anazini.
Siyo kweli..Mkuu suala ni kuwa anatimiza ahadi ya kuwa na mke mmoja wa kufa na kuzikana. Akimuacha inatakiwa aishi bila mke maisha yake yote kwakuwa akioa atakuwa anazini.