Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza
Labda msikitini/misikitini huku upande wa Pili peleka asiejiweza utaambiwa mpeleke Polisi
 
nilikuwa nafikiri % kubwa ya sadaka tunazo toa zinaenda kusaidia mayatima,wajane na wasiojiweza na kueneza neno la Mungu kumbe sivyo ninafikiri sadaka zetu sisi zinawanufaisha wachungaji uku waumini tukiwa choka mbaya
Sasa si ndio kuliwa kwenyewe huko? Kwani yatima , wajane wanapiga nazo picha hizo sadaka?
Wachungaji pia ni lazima wale madhabahuni. Wewe toa sadaka acha janja janja.
 
Acha uongo.Na wanavyotunza yatima?Wanavyosomesha wahitaji?Wanavyowapa huduma za afya na ujasiriamali?Usipotoshe.
Mimi nimeshawahi peleka mtu asiejiweza niliishia kuzuiwa na mlinzi kwenye kujieleza akaambiwa aende kituo cha Polisi akajieleze, wengine wakamshauri aende kwenye kituo cha redio akaombe MSAADA Ila kanisani walimfurusha mlinzi alimtimua
 
Maneno ya mchungaji yamenivunja sana moyo wa kutoa sadaka.

Nimeacha kutoa sadaka kanisani, maneno ya huyu mchungaji yameniumiza sana. Kwamba sadaka ni chakula cha wachungaji. Mungu hana Account ya kuwekewa pesa.

wanatuambia Toa fungu la kumi , utabarikiwa!!!!, usipotoa umemuibia Mungu. halafu baadae wanasema Mungu hana account ya kupokelea pesa

View attachment 2928065
Wewe ulitegemea wachungaji wanaishi kwa mshahara gani?
 
Mimi nimeshawahi peleka mtu asiejiweza niliishia kuzuiwa na mlinzi kwenye kujieleza akaambiwa aende kituo cha Polisi akajieleze, wengine wakamshauri aende kwenye kituo cha redio akaombe MSAADA Ila kanisani walimfurusha mlinzi alimtimua
Punguza uongo
 
Siajamuelewa mchungaji anaposema kuwa anasimama on behalf of God mahali ambapo ilibidi Mungu akuombee anaomba yeye kama mchungaji, Mungu ambaye ni muweza wa yote anaomba kwa nani? au nimelewa
 
Maneno ya mchungaji yamenivunja sana moyo wa kutoa sadaka.

Nimeacha kutoa sadaka kanisani, maneno ya huyu mchungaji yameniumiza sana. Kwamba sadaka ni chakula cha wachungaji. Mungu hana Account ya kuwekewa pesa.

wanatuambia Toa fungu la kumi , utabarikiwa!!!!, usipotoa umemuibia Mungu. halafu baadae wanasema Mungu hana account ya kupokelea pesa

View attachment 2928065
Tunajua eti
 
Back
Top Bottom