Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Unaijua kkkt kijitonyama? Au unamjua tu kamaro
 
this is at the individual level, not at kanisa level! kama wewe unavyoweza kuzini wakati uko kwenye ndoa. Siyo kosa la kanisa lako/msikiti wako,ni wwe na uzinzi wako
Ingekua ni mimi na uzinzi wangu basi kanisa lingenitenga na kunisimamisha huduma lakini cha ajabu kanisa ndio limekua likiwalimda na kuwatetea mapadri na maaskofu wanaolawiti watoto hivyo ni mkakati wa kanisa kuhakikisha wanalawiti watoto na kisha kulindana.

Papa mwenyewe amekiri kwamba aliwalinda na kuwatetea maaskofu waliokua wanatuhumiwa kulawiti watoto.
 
Kila kanisa na utaratibu wake na ndio mana hata mapadree wanaokosea kanisa huwa mnaondoa

Amri za kanisa mliweka ili zifuatwe

Sasa hata kkkt nako kuna utaratibu wake ukiend kinyume lazma ukumbushwe
 
Umeongea kama mtoto wa darasa la 2. Mbona wakatoliki wengi huwa wana akili na uelewa? Tumsifu Yesu Kristo ni salamu ambayo mkristo yeyote anaweza itumia.

Kuelezea mambo mazuri wanayofanya wengine ni akili ya ku appreciate. Migogoro ipo hata Roman Catholic sema tu wewe ni mtoto huelewi. Unamfaham Father Nkwera? Unawafaham Charismatic? Kila Taasisi ina taratibu zake. Ziheshimiwe.
 
Vifo wa mapree kukutwa kwenye matank ya maji chanzo ilikuwa nini?
 

Ukisoma uliyoandika hakika wewe unaweza ukawa ni sehemu ya hayo majungu

Ungeainisha ni sheria na taratibu zipi za kanisa jamaa kakiuka, naona hapa upo mgogoro mnaupika

Muda ni mwalimu mzuri kabisa,kama wewe uliona Mchungaji anakosea ulichukua jitihada gani, kanisani si kuna wazee, mlijaribu hata kumuita mkamuonya,,naamini angewasikiliza

Inaelekea na wewe ni miongoni mwa wale mliokuwa mnampigia makofi na kumshangilia akijeuka nyuma mnaanza kumnanga..

maisha ya bidadamu ni mafupi, tupendane, tusahihishane,tukosoane kwa staha,,badala ya kujenga jamii ya wanafiki.. kwani KKT DSm makanisa yapo mangapi kwanini waumini wengi wanene mara nyingi kuhusu KIJITONYAMA na KIMARA TU

Wakati mnamnanga tambueni YEYE NI MUANzILISHI WA IBADA zA ASUBUHI NA MASIFU YA JIONI KWA KKKT PIA NI MTU WA KWANzA KUANzISHA TV KABLA HATA YA UPENDO RADIO NA TV...
 
Imekuwepo ya Ulawiti, Ubakaji, ndoa za jinsia moja n.k
 

MKUU HAKUNA MGOGORO WOWOTE KUHUSU CHARISMATIC KATOLIKI TANzANIA, IPO KILA MAHALI NA KILA JIMBO KATOLIKI INA WARATIBU WAKE, WAPO MAASKOFU MAPADRI NI WANAcharistmatic kindakindaki mfano Askoofu mstaafu Lebuli na wengine....Padre Nkwera alikataa kufuata maagizo wa wakubwa zake kajiwekea utaratibu wake ulitaka aachwe
 
Yule wa Kebbyz hotel mwenge ?

[emoji3][emoji28]

Umenichekesha Eti yule mwingine alikuwa akifundisha mambo ya wanawake na mapenzi tu basi [emoji108][emoji23]
Yule hakuwa mchungaji, zilikuwa zimefyatuka na hutakiwi kumlinganisha na wachungaji. Namfahamu alitokea TAG Mwenge
 
Wachungaji wa kkkt hawafuati calendar ya kanisa hata tumwimbie bwana hawaimbi Tena wanaimba mapambio
 
Sijui naongea na nani ndilo tatizo.
 
Demokrasia kanisani? Basi Mungu angesema tupige kura wanaosema Uzinzi ni dhambi au si dhambi kura zihesabiwe😀
Umenielewa nilichomaanisha, lakini umetolea mfano tofauti ili kujifanya hujaelewa
 
Mzee ukisema uweke Demokrasia Kanisani utajikuta hamna Kanisa.

Ndio mwanzo wa migogoro Kama tunayoiona.

Huku kwetu kwa Salam Maria ni mwendo wa Amina kwenda mbele na Kanisa linaenda.
Nimecheka... umenikumbusha sister wetu in my o level alikua ana msemo

Roma locuta, causa finita​

 
UMEZUNGUMZIA UTARATIBU WA WAKUBWA. HAPO HAPO TU ULISHAMALIZA KILA KITU. KILA TAASISI INA UTARATIBU WAKE. USIPOFUATA UTAONA UNAONEWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…