Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Kama sababu ni kusema vijana wa kiislamu wamekuwa waaminifu basi KKKT hao viongozi na huyu Mwamakula sijui watakuw hawajielewi kabisa
 
Mie ndiyo nasema Kanisa liheshimiwe jamani , yaani mtumishi asiwe juu ya KANISA!!!!! DAAAH HIZI PESA !!!!!!!!!!!
 
Jamani mchungaji wetu nkya ubungo plaza tunammiss sana toka tupo wadogo mpaka sasa watu wazima wakaja kumuhamisha kumpeleka mbezi luis kanisa tumejenga naye na michango yetu

Kkkt ubungo plaza tujuane
 
YEAH LAZIMA MWONGOZO WA KANISA UFUATWE SIYO MCHUNGAJI ANAKURUPUKA NA VIBES ZA ZAKE KAMA KANISA LAKE!!! HAPANA aisee hata kama ana upako basi vigezo na masharti yazingatiwe.
 
Kwenye wasambaaa wala haujakosea mkuu
 
Haswaaa na alipewa mtaji na Kimaro hapo hapo kanisani na alikua muimba kwaya
bhasi ilikuwa ni biashara ya jamaa... anyway huyu jamaa itakuwa ana miradi mingi aliyowapa vijana wa kanisaa wakumdhurumuuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hasira yake imewakaa juu ya dini ya kikristo maana pesa kwanzaa akajisahau na yeye ni mkristo. Anyway hata hayo mambo ya kusema dini ya kweli ni katoliki sababu ukute kafatiliwa juu ya ubadhirifu wa pesa maana sharika kubwa zenye mapato huwa kuna wizi sana mwisho wa siku hakuna MCHUNGAJI ANAWEZA SHINDANA NA KANISA HATA MALASUSA MWENYEWE HAWEZI.
 
Jamani mchungaji wetu nkya ubungo plaza tunammiss sana toka tupo wadogo mpaka sasa watu wazima wakaja kumuhamisha kumpeleka mbezi luis kanisa tumejenga naye na michango yetu

Kkkt ubungo plaza tujuane
yeah Mchungaji Nkya ni GENTLEMAN!!!!!! Mshauri mzuri, myenyekevu, hana tamaa, anasikiliza, anajitoa bila kuangalia uwezo wa mtu kwa hali na mali, waislamu na watu wa madhebu mengine anaenda nao vizuri, muwazi sana especially kwa vijana na mengi kama hayo. vijana wengi tu pale wamenufaika na ushauri wake ukiwemo i hope,
Binasfi mie ni mkatoliki lakini amenisaidia sana kunipa mwongozo.

MUNGU AZIDI KUMUOMGOZA KATIKA KILA ATUA YA UTUMISHI WAKE
 
Malasusa ana makando kando sana sio mtu wa kumwamini Mnyakyusa yule hili kanisa limekua kijiwe cha wapigaji na kupeana ajira za kindugu tu...ebu fikiria kuna sadaka ya mfuko wa elimu na haina maelekezo.

Mimi nimeamua kuwavungia tu siwezi kwenda tena huko kanisani
 


Wao Viongozi ndio wameyakuza, lakini watu walimuelewa pastor Kimaro vizuri tu maana ni alikuwa ana chagiza tu.

Wanatafuta visingizio tu !
 
Wao Viongozi ndio wameyakuza, lakini watu walimuelewa pastor Kimaro vizuri tu maana ni alikuwa ana chagiza tu.

Wanatafuta visingizio tu !
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€anapiga promo mpaka anaharibu sasaaa
 
Inaezekana Mzee Rick kimasihara ila hata wao wana ya kwao why wachukulie hii issue siriaz hivi?
 
Mkuu umeongea ukweli kuhusu Nkya yaani hata harambee kuhusu kanisa na kuhusu mambo mengine mtu unatoa kiroho safi yaani tunamkumbuka sanaaa sanaaaa na tunampenda
 
kanisa ni moja tu: Katoliki la Mitume. uende ibadani usiende. uhudhurie jumuia usihudhurie. ukishakuwa Mkatoliki utaishi kwa amani sana.
Nani kakudanganya.

Wewe kama haushiriki shughuli za kanisa kama kulipa Zaka, kusali Jumuiya na kulipa michango mbalimbali tunakuona kama kibaka tu.
 
We Kuna jambo lilikupeleka huko Mashahidi ..Kwani hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…