Hahahah kumbe ni sawa na mwalimu mkuu kumuonea wivu mwalimu wa hesabu kwa sababu anapendwa na wanafunzi wake na anamiliki tution centres kadhaa nje ya mshahara wa shuleni.Na kipato nje ya ofisi huduma anazotoa anapata sana hivyo mkubwa kaingiza ka wivu
Hamna watu kama hao jamaa, wana sadaka kama ugomvi na usipoenda Jumuiya umeisha.kanisa ni moja tu: Katoliki la Mitume. uende ibadani usiende. uhudhurie jumuia usihudhurie. ukishakuwa Mkatoliki utaishi kwa amani sana.
Mahakamani akafanye nini? Maana sisi wakristo tunaamini kwamba Hakimu wa haki ni Mungu. Haileti afya kiroho kwa mtumishi wa Mungu kwenda Mahakamani kudai haki anatakiwa amwambie Mungu kwa njia ya maombi kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana.Lutheran pamoja na wito ila ni ajira pia unauwezo wa kuwapeleka mahakamani
🤣Jamaa anakwambia ukiondoa RC wengine wote hakuna makanisa Ila ni madalali tu, Kimaro huyo sio mimi
hana huo ubavuKimaro akisimama hata chini ya mti tu bila hata meza waka kiti kanisa tiyar acha kujidangaya.
Kanisa linaendeshwa kwa utashi wa wanadamu unaotafsiri neno la mungu .kanisa ni taasisi ya kidini na kisheria pia.kama ni hivo wachungaji wasiende kusoma hadi phd kama kimaro wasubiri muweza wa yoteMahakamani akafanye nini? Maana sisi wakristo tunaamini kwamba Hakimu wa haki ni Mungu. Haileti afya kiroho kwa mtumishi wa Mungu kwenda Mahakamani kudai haki anatakiwa amwambie Mungu kwa njia ya maombi kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana.
Kwahiyo unataka kusema ni kanisa la shetani?Una uhakika gani Mungu ndio ana umiliki wa kkkt?msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya ajabu ajabu
Nani amekuambiaKwa mfumo huu huu Lutheran ilijitenga toka Katoliki. Leo ndani ya Lutheran dhambi ile ile ya kujitenga inaendelea
Kwani nani amesema kama sio la mungu basi la shetani linaweza kuwa hata la ccmKwahiyo unataka kusema ni kanisa la shetani?
Makubwa haya!!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kaahhhh!!!Mzee wewe una share kwenye ukoo wa Yesu? Mboni unajifanya Mesia? Kimaro amevuna alichopanda, ngoja niweke nikuta hapa nisije nikaonekana naongea sana na mimi wakanidyatua
Hii nongwa hiii,acheni nongwa hizoooo, Yaani unaafiki mwingi umewajaa na kujifanya ñinyi watakatifuVijana wakristu ni wezi na matapeli tofauti na vijana wa kiislamu, vijana wa kiislamu wanakuzwa kwenye malezi mazuri, sijasema Mimi kasema Kimaro
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]We mama nae kumbe mtu wa Majungu hivi loh
Utaambiwa una maslahi nae brohNilishamwambia huyo jamaa kwamba mchungaji Kimaro ana advantage kubwa 2. Kwanza ni mchagga halafu pili ana upepo wa kichungaji. Anaweza akasepa na kijiji kabisa na hawata amini macho yao.
Ndio maana yakeKwahiyo unataka kusema ni kanisa la shetani?
Kwa hio wachungaji wanapangiwa mpk jinsi ya kuhubiri,ukiongea ongea mshahara hunaLutheran pamoja na wito ila ni ajira pia unauwezo wa kuwapeleka mahakamani
Nimekuuliza wewe una share kwenye ukoo wa Yesu?unaafiki mwingi umewajaa na kujifanya ñinyi watakatifu