Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Atoke akaanzishe kanisa lake mwenyewe,Makanisa nayo yana likizo,yaani mchungaji unakua umeajiriwa?
ndio maana nilienda zangu mashahidi wa jehova
Ni ajira hyooo..
Hao wachizi ndiyo habari ya mjini
Kuwa habari ya mjini ndio kulibeba kanisani. Hata shuleni, makazini kuna wafanyakaz au wanafunzi wazuri na wanajituma sana kazini lakini huwezi sema eti wanazibeba taasisi Hizo..taasisi zinajengwa kimfumo sio kutegemea mtu mmoja
 
 
Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...
Kuna siku alialika Wanasiasa wawili kwenye harambee hapo Kanisani
 
Kama kanisa lako ni chafu usihalalishe kuchafua makanisa mengine ambayo hujawahi kuabudu humo. Kitanda usicholalia huwezi kujua kunguni wake. Sorry for that!
 
Kimaro ana kiburi cha umaarufu.

Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii, [emoji2827]
 
Sasa hata yasipoyumba so what? IMPACT YAO NI NINI? Msifanye vitu kwa mazoea, Kimaro na Mgogo wana injilisha kwa namna yenye kuleta mapinduzi, kimaisha na kiimani
Wacha mbambamba mingi,waambie hao wachungaji wako hayo makanisa Ni taasisi kamili na hakuna mkubwa kuliko taasisi.

Wakishindwa kufuata kiapo cha utii mlango uko wazi wanaweza kwenda kuanzisha makanisa Yao.
 
Fungu la kumi ni uhuni kama uhuni mwingine tu
 
Kweli kabisa wewe mkuu ni KKKT kijitonyama tena huyu alipaswa apelekwe hata kule usharika wa lemubebez
 
Kwa hili nakuunga mkono Sana ila hata huyu aliyeanzisha kusifu na kuabudu kwenye ibada, ashughulikiwe. Kimaro alijaa majivuno, na niliwahi kusema humu ndani nikapingwa vibaya Hadi matusi.
 
Fungu la kumi ni uhuni kama uhuni mwingine tu
kwenye Biblia yako ya MAKABAYO,ila kwa sisi tunaosoma vitabu 66 , lipo:
wewe hapo umevaa sketi ya mtumba ambayo wazungu wametoa fungu la kumi, umevaa pedi ambapo ni msaada wenzio wametoa fungu la kumi, leo asubuhi umefanya tendo la ndoa[morning glory] na mume wako kwa kutumia Durex condom toka marekani ambapo ni fungu la kumi la wazungu kwa nchi maskini, acha mkono na roho korosho, lipa zaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…