mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 757
Hata mimi, nimeona kuna jambo kaliongea huyo uliyemnukuuAsante kwa kutufumbua macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi, nimeona kuna jambo kaliongea huyo uliyemnukuuAsante kwa kutufumbua macho
Wanalibeba kivipi?? Hakuna mtu mkubwa kuliko taasisi anayofanyia Kazi never...Huyo Kimaro na Mgogo ndiyo wanalibeba kanisa, shida ni kwamba kazi ya Mungu lazima ipate upinzani wa shetani na hao wanao mletea figisu ndiyo mashetani wenyewe
Sasa hata yasipoyumba so what? IMPACT YAO NI NINI? Msifanye vitu kwa mazoea, Kimaro na Mgogo wana injilisha kwa namna yenye kuleta mapinduzi, kimaisha na kiimaniNitajie mchungaji/askofu yoyote yule aliyewahi kuondoka KKKT,RC,ANGLICAN na kanisa likayumba.
Ni ajira hyooo..Atoke akaanzishe kanisa lake mwenyewe,Makanisa nayo yana likizo,yaani mchungaji unakua umeajiriwa?
ndio maana nilienda zangu mashahidi wa jehova
Kuwa habari ya mjini ndio kulibeba kanisani. Hata shuleni, makazini kuna wafanyakaz au wanafunzi wazuri na wanajituma sana kazini lakini huwezi sema eti wanazibeba taasisi Hizo..taasisi zinajengwa kimfumo sio kutegemea mtu mmojaHao wachizi ndiyo habari ya mjini
Kwamba si mtii si kweli, hata kusimamishwa ametii hadharani na ame address viongozi wake kwa heshima zote. Hapo naona umetoa allegations nyingi za uongo ingawa mimi si muumini wa Lutheran!
Kusema hafati ratiba ya Kanisa si kweli, sema huwa anakuwa na ratiba za ibada ya huduma yake nje ya litrujia ya kawaida mfano mafungo maalum.
Huyu mchungaji ana kundi kubwa la watu ambao hata si walutheri, hiyo pekee ni huduma na Kanisa lingepaswa kumsaidia kumlea ili aweze kuhudumia hao. Hata Mwakasege ambaye ni Mlutheri injili yake haina mipaka ndio maana pamoja na kutii ibada ya Kanisa lake lakini ana huduma yake.
Nafikiri Mchungaji Kimaro hajapata Askofu wa kuelewa huduma yake, wanataka awe kawaida afanye huduma kama kila mchungaji.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kuna siku alialika Wanasiasa wawili kwenye harambee hapo KanisaniKufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...
Ukikua utajua ni wakati gani shetani yuko kaziniNi ajira hyooo..
Kuwa habr ya mjin ndo kulibeba kanisani. Hta shuleni, makazini kuna wafanyakaz au wanafunzi wazur na wanajituma sana kazin lkn huwez sema eti wanazibeba taasisi Hizo..taasisi zinajengwa kimfumo sio kutegemea mtu mmoja
Kama kanisa lako ni chafu usihalalishe kuchafua makanisa mengine ambayo hujawahi kuabudu humo. Kitanda usicholalia huwezi kujua kunguni wake. Sorry for that!Makanisa na migogoro ni sawa na samaki na maji.
Makanisa yote yemejaa changamoto, wakatoliki na ushoga na ulawiti watoto, waangillikano ushoga, walutheri sadaka na ukabila, wasabato ukabila, unafiki, walokole sadaka, ni balaa tupu.
Anyway, kama anaona hatendewi haki ajutenge na kanisa lake aendelee kufunisha watu wake kama kina kamobe, mwingira, Mama Rwakatale, yule mwingine alikua anafudisha wanawake tu na mapenzi, mxee wa upako nk.
Kimaro ana kiburi cha umaarufu.Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisan....
Wacha mbambamba mingi,waambie hao wachungaji wako hayo makanisa Ni taasisi kamili na hakuna mkubwa kuliko taasisi.Sasa hata yasipoyumba so what? IMPACT YAO NI NINI? Msifanye vitu kwa mazoea, Kimaro na Mgogo wana injilisha kwa namna yenye kuleta mapinduzi, kimaisha na kiimani
Fungu la kumi ni uhuni kama uhuni mwingine tuAcha upuuzi wewe, , Mtu ana kiu ya Kulishwa neno la Mungu unataka abaki kwenye usharika au kanisa linalosifia serikali na kuongelea SIASA?
Mpuuzi wa mwisho wewe, yani mtu aache kwenda sehemu inayosisitiza Fungu la kumi, malimbuko, sadaka kwa wajane , injili vijijini wewe UNATAKA KANISA LA MASADUKAYO NA MAFARISAYO?
this is at the individual level, not at kanisa level! kama wewe unavyoweza kuzini wakati uko kwenye ndoa. Siyo kosa la kanisa lako/msikiti wako,ni wwe na uzinzi wakowakatoliki na ushoga na ulawiti watoto,
SAMIA alimtoa kabudi na sukums Gang wengine akasema atawapa kazi maalum ikulu, majamaa mpaka leo wanasubiri kazi ila Kawajibu kisela " Serikali haitoi kazi inawezesha tu kupata kazi, alafu KATAMBI akagongea msumari "Jiajirini"Ngoja siku 60 ziishe....
Kweli kabisa wewe mkuu ni KKKT kijitonyama tena huyu alipaswa apelekwe hata kule usharika wa lemubebezKwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Kwa hili nakuunga mkono Sana ila hata huyu aliyeanzisha kusifu na kuabudu kwenye ibada, ashughulikiwe. Kimaro alijaa majivuno, na niliwahi kusema humu ndani nikapingwa vibaya Hadi matusi.Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wak...
kwenye Biblia yako ya MAKABAYO,ila kwa sisi tunaosoma vitabu 66 , lipo:Fungu la kumi ni uhuni kama uhuni mwingine tu