lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Mbona Mnahangaika na mtu ambae yupo kimya
Hatuhangaiki, tunawaeleza nyie wapambe, mbona yeye ametii mamlaka na nyie mnapiga kelele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mnahangaika na mtu ambae yupo kimya
Hatuhangaiki, tunawaeleza nyie wapambe, mbona yeye ametii mamlaka na nyie mnapiga kelele?
Ndo ujue kila kitu kinamsingi wake, usiksshifu tsratibu zilizowekwa mbya Zaid na weww umo ndani ukitumia facilities zetu kutoa shtuma Zako. Katika Maisha kila kitu Kina udhaifu wake..Hio ni biashara sio kanisa
Pale kuna matajiri wengi,zawadi kibao lazima apapende.Mchungaji wa dili huyu ameshakula sana Kijitonyama sasa kutoka inakua shida
Yeye kajibrand kwenye social media hivyo diaspora wengi walimuona, connection na ndo walimualika USA. Ila USA hata Mwakasege huwa anakwenda na hana majivuno.Mnasema Kimaro amekula sana Kijitonyama hataki kuondoka? Mnajua historia yake? Hivi hamjui alikuwa mfanyabiashara hata ya kuingia kwenye uchungaji ?
Mnadhani anasikitika akitoka Kijitonyama?
Wewe hujiulizi ilikuwaje akaenda Marekani na akakaa huko kwenye likizo yake yote ya mwaka mwishoni mwaka jana kama hana "mashabiki" wa kumwaga?
Hivi hamjajua kwamba hao anaowahamasisha kujitoa kwa ujenzi na mipango mingine ya maendeleo hapo Kijitonyama wanatoa kwa heshima yake?
Hujajiuliza mbona sharika nyingine za KKKT hazina maendeleo makubwa kama ya Kimara Korogwe kwa Mastahi na Kijitonyama kwa Kimaro? Hamwoni kwamba Mungu kaweka kipawa fulani ndani ya hao wawili ili kuchochea maendeleo ya kanisa kiroho na kimwili?
Nyie bakini na maneno yenu meeengi ya kumtuhumu, na kumhukumu Kimaro, lakini hamwezi kumfikia kiroho wala kimwili hata iweje. Ni wivu tu umewajaa !!
Kwani mwenye makosa kwenye hiyo dayosisi ni yeye mwenyewe? Kwani hamjui wapo wakubwa wa skendo nzito lakini hakuna anayewahukumu maana tunajua Mungu atashughulika nao Yeye mwenyewe?
Na cheti alifoji tena .?Mchungaji unafoji cheti Cha form four?.
Kama nia yake ni kupata Uaskofu basi tutegemee apelekwe Manerumango akaieneze injili.Kumbe kafoji vyeti,ndo maana nilisema huyu.huu u Dr wa kweli?Huyu Kimaro ni mpigaji tu.
Hiyo video ya mwisho inaonyesha jinsi waumini wanaojiona ni wakristo wasivyo wa kristo.Muumini anasema ukristo unakufa haufi? Halafu wote wanajibu unakufaaaaaaa....... Kisha wanasema kimaro kasema hayo hivyo kasema ukweli.Huyu Kimaro inaonekana kutolewa ni sahivi maana hata ukristo bado hajaujua vizuri.View attachment 2486999
Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.
Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo kuwaaga Washarika wake na kuanzia Januari 17 Mchungaji Anna ataendelea kuwa kiongozi wa Kanisa hilo.
Kwa mujibu wa barua, Mchungaji Kimaro atamaliza likizo yake ya lazima 17/03/2023 na barua inamuelekeza kuripoti makao makuu na sio usharika wa KKKT Kijitonyama ambapo atapangiwa sehemu nyingine.
Amesema:
"Mimi ni Mchungaji wa Lutheran ninayeheshimu kiapo changu cha kichungaji na kuishi katika kiapo changu cha kichungaji na maadili pia ya kichungaji kwa neema ya Mungu. Kwa sababu hiyo imenilazimu kutii amri na kwenda kwenye hiyo likizo ya siku 60 na baadae kuripoti kwenye ofisi ya Askofu kama nilivyoelekezwa" Asante.
View attachment 2487041
Video: Mchungaji Kimaro akiombea Waumini baada ya kuaga
UPDATES
Baadhi ya Waumini wa KKKT wajitokeza kupinga uamuzi wa Mchungaji Kimaro kupewa likizoWaumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama wamekubaliana kutoingia ndani ya Kanisa hilo hadi watakwporudishiwa Mchungaji wao Dk Eliona Kimaro aliyepewa likizo ya siku 60.
Uamuzi huo umefikiwa na waumini hao baada ya kukubaliana kufanya maandamano ya amani katika viwanja vya kanisa hilo hadi pale mchungaji wao atakaporudishwa au kupewa sababu za kupewa likizo hiyo.
Tazama baadhi ya video hapa chini:
View attachment 2487024
View attachment 2487032
View attachment 2487035
Video hizo hapo juu zinawaonesha Waumini wa KKKT Usharika wa Kijitonyama wakipinga mchungaji wa usharika huo Dk Eliona Kimaro kupewa likizo ya siku 60.
PIA SOMA:
1. https://www.jamiiforums.com/threads...amlijui-viongozi-wake-hawajakurupuka.2057299/
2. https://www.jamiiforums.com/threads/projects-za-mchungaji-kimaro-akiwa-kkkt-kijitonyama.2057447/
3. https://www.jamiiforums.com/threads...ma-na-kiongozi-wangu-askofu-malasusa.2057711/
Sadaka zitawafanya muuane ninyi,serikali iweke jicho hapo msije leta madhara kwa jamiiHiyo video ya mwisho inaonyesha jinsi waumini wanaojiona ni wakristo wasivyo wa kristo.Muumini anasema ukristo unakufa haufi? Halafu wote wanajibu unakufaaaaaaa....... Kisha wanasema kimaro kasema hayo hivyo kasema ukweli.Huyu Kimaro inaonekana kutolewa ni sahivi maana hata ukristo bado hajaujua vizuri.
Anasema ukristo unakufa wakati kitabu cha mwisho cha Biblia kinasema Ukristo utafika mwisho kwa uimara zaidi hadi hapo tutakaponyakuliwa.Kimaro kasome Biblia vizuri , uwezi ukasifia uislamu Kanisani.Hapo unawafanya watu waone kuna nuru kwa uislamuni hivyo Yesu anaonekana sio njia pekee ya kwenda kwa baba hivyo ni kumfanya Yesu muongo aliposema " mtu akiwa kinyume chake hutapanya" Kina Paulo walihubiri hakuna wokovu nje ya Yesu
Awe nakarama,kipawa au vyovyote vile...ila ha wezi kuwa juu ya Taasisi!Mnasema Kimaro amekula sana Kijitonyama hataki kuondoka? Mnajua historia yake? Hivi hamjui alikuwa mfanyabiashara hata ya kuingia kwenye uchungaji ?
Mnadhani anasikitika akitoka Kijitonyama?
Wewe hujiulizi ilikuwaje akaenda Marekani na akakaa huko kwenye likizo yake yote ya mwaka mwishoni mwaka jana kama hana "mashabiki" wa kumwaga?
Hivi hamjajua kwamba hao anaowahamasisha kujitoa kwa ujenzi na mipango mingine ya maendeleo hapo Kijitonyama wanatoa kwa heshima yake?
Hujajiuliza mbona sharika nyingine za KKKT hazina maendeleo makubwa kama ya Kimara Korogwe kwa Mastahi na Kijitonyama kwa Kimaro? Hamwoni kwamba Mungu kaweka kipawa fulani ndani ya hao wawili ili kuchochea maendeleo ya kanisa kiroho na kimwili?
Nyie bakini na maneno yenu meeengi ya kumtuhumu, na kumhukumu Kimaro, lakini hamwezi kumfikia kiroho wala kimwili hata iweje. Ni wivu tu umewajaa !!
Kwani mwenye makosa kwenye hiyo dayosisi ni yeye mwenyewe? Kwani hamjui wapo wakubwa wa skendo nzito lakini hakuna anayewahukumu maana tunajua Mungu atashughulika nao Yeye mwenyewe?
Wala ht asiposilimu nitamsikiliza ,Mimi napenda hoja nzuri na mafunzo ht mwakasege namskiliza na nampenda piaNasikia anakaribia kuslim kuwa sheikh!ana Imani kubwa na upande wa Islam mpokeeni huko[emoji16]
Hajarudishwa na hawezi kuridishwa kwa namna hiyo labda kama sio KKKT ninayo ifahamu mimi.Acheni kuoneana wivu kwenye dini hiyo yenu, kuna fununu ameisha rudishwa na ni Mchungaji wa pale anaendelea. Wanasema imetangazwa misa ya Juzi.
Mtajiju na KKKT yenu, Mola awe naye awashangaze.Hajarudishwa na hawezi kuridishwa kwa namna hiyo labda kama sio KKKT ninayo ifahamu mimi.
Wala ht asiposilimu nitamsikiliza ,Mimi napenda hoja nzuri na mafunzo ht mwakasege namskiliza na nampenda pia
Uislam Sio uadui Wala chuki,yoyote anaehubiri Amani namheshimu na kumpenda Kuna vingi tunajifunza kutoka kwao yasionihusu nayaacha
Std 7 anaanzisha kanisa na linatamalaki ije iwe eliona?!!!hana huo ubavu