Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Jamaa anakwambia ukiondoa RC wengine wote hakuna makanisa Ila ni madalali tu, Kimaro huyo sio mimi
Namkubali

Siku hizi kuna makanisa ya maji, mafuta na chumvi hayana tofauti na uganga wa jadi
 
Kesho kutwa kijitonyama ibada ataendesha nani?
Wanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;
  1. Ufipa
  2. Buguruni
  3. Kagera Usalama
 
kanisa letu limejikita kuhubiri michango na utoaji kuliko kuponya na kuinua watu spiritually ndo mana kuna ma conflict of interest
The more you donate the more your Pastor smiles at you regardless of your sins
 
Polisikkkt wametoka konde Sasa wapo kijito nyama
Wanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;
  1. Ufipa
  2. Buguruni
  3. Kagera Usalama
K
 
Polisikkkt wametoka konde Sasa wapo kijito nyama
Wanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;
  1. Ufipa
  2. Buguruni
  3. Kagera Usalama
K
 
Polisikkkt wametoka konde Sasa wapo kijito nyama
K
Ndani ya miaka michache tu wamezingira
Dayosisi ya Mtwara
Dayosisi ya Kusini
Dayosisi ya Konde
Dayosisi ya Mashariki na Pwani
Ukichunguza why? Utagundua ni upigaji mwingi unaligawa Kanisa
 
Ndani ya miaka michache tu wamezingira
Dayosisi ya Mtwara
Dayosisi ya Kusini
Dayosisi ya Konde
Dayosisi ya Mashariki na Pwani
Ukichunguza why? Utagundua ni upigaji mwingi unaligawa Kanisa
Sijui kama Askofu mwaikali amekumbuka kumpa salamu za pole mchungaji?
 
Hajawafunza vyema waumini wake mambo ya kanisa hayatatuliwi kwa maandamano ya kwamba tunamtaka kimario

Hayo maandamano yameonesha shida kubwa sana iliyopo kwenye hilo kanisa la kijitonyama kuna ukosefu wa hekima wa hali ya juu sana
Sina upande lakini waumini kuandamana inaonyesha aliyekua anawaongoza ana shida, it is simply a manifestation of his teaching to them

On other side what the pastor said about Christian he is absolutely correct
 
Kibri kipi bwana ukweli chuki tu ukweli usemwe Kimaro Ndo habari ya mjini tukubali tukatae Mimi ujue sikosagi vipindi vyake nikipata nafasi anatia faraja yule anafundisha nadhani wameogopa anawaoutshine Sanaa viongozi.

Kuhusu picha ni vitu vidogo tafsiri zao Ndo zao yeye ukute hamaanishi wanavomaanisha. Ni wivu tu hakuna lingine wanadamu wanaangalia kitu kidogo sana Ndo wanakibeba kuliko mema yake

Si wangesubiri amalize semina kama wao Wana hofu na Mungu kweli!mtu amejipanga halafu mnamkatisha palipo na riziki hapakosi fitna.

KKKT wamefeli Kwa hili
Ujinga mtupu,mchungaji kumbe kafoji cheti cha form 4.Halafu anajiita DR..Niliwahi msikiliza mara moja tu,nikasema hakuna kitu hapo.Wajinga wenzake ndo mnamkubali.
 
Tofauti baina ya watumishi kwenye dini zote duniani hazijaanza leo, ikumbukwe hata dhehebu lenyewe la Lutherani ni matokeo ta kutofautiana kwa Padre Martin Luther na Papa wa wakati huo karne zilizopita, chanzo kikiwa ni hikihiki kinachotajwa kuwa ni uamsho au mahubiri yanayochangamsha badala ya kumfanya muumini kulala ibadani. Kwahiyo dhambi hiyo ya kujitenga bado itaendelea kulitafuna Kanisa la Kristo mpaka pale Mwenyewe atakaporudi. Kitu cha msingi hapa ni kumwacha Dr. Kimaro afungue Kanisa lake na si kuendelea kulaumiana. Wakatoliki kwenye suala hili wako very clear na wala hawamung'unyi maneno, hutaki kufuata taratibu za Taasisi basi ruksa jitoe kaanzishe taasisi yako huko na hamna wa kukusumbua kama kina Father Nkwera na wengineo.
 
Back
Top Bottom